Njemba Soro. JF-Expert Member Joined Oct 5, 2013 Posts 4,280 Reaction score 7,485 Jun 11, 2025 #21 Wakati wananunua mechi hakukuwa na kelele. Wanaona msimu huu mambo magumu wanaanza kuropoka.
Tsh JF-Expert Member Joined Aug 26, 2021 Posts 22,502 Reaction score 48,479 Jun 11, 2025 #22 mzabzab said: Hii sasa ndio point yenyewe. Hapa watu wanasaka fungu la afcon 2027 hamna lolote. Watu watoke wao waingie walambe asali ya afcon 2027. Click to expand... Umejiongeza kweli, hahaha
mzabzab said: Hii sasa ndio point yenyewe. Hapa watu wanasaka fungu la afcon 2027 hamna lolote. Watu watoke wao waingie walambe asali ya afcon 2027. Click to expand... Umejiongeza kweli, hahaha
M mzabzab JF-Expert Member Joined Aug 18, 2011 Posts 46,250 Reaction score 90,741 Jun 11, 2025 #23 Tsh said: Umejiongeza kweli, hahaha Click to expand... Ndio hivyo mwanawane kwenye maulaji watu wanakutoa roho sii mchezo. Afcon 2027 mihela itamwagika sasa watu wanataka dollar hizo
Tsh said: Umejiongeza kweli, hahaha Click to expand... Ndio hivyo mwanawane kwenye maulaji watu wanakutoa roho sii mchezo. Afcon 2027 mihela itamwagika sasa watu wanataka dollar hizo