GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
namsubiri GENTAMYCINE averify.
Ha ha ha ha....ubingwa gan [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wa Kuvua ' Vibua ' pale Jangwani Mafurikoni Mkuu.
Huu ni mwaka Wa mateso kwa yanga
Hivi michuano hii ni mtoano au??Tusubiri simba na yeye zamu yake
Tusubiri simba na yeye zamu yake
Hivi michuano hii ni mtoano au??
DaaaaaahUnauliza Njaa Jangwani Mkuu?
Welcome back home Makambale[emoji196][emoji196][emoji196]Kamegwa 3 na Kakamega