Yanga waahidi kutwaa ubingwa wa sport pesa super cup

Yanga waahidi kutwaa ubingwa wa sport pesa super cup

namsubiri GENTAMYCINE averify.

Dakika 3 tu kutoka sasa wametoka Kufungwa goli la 3 ambalo ni la Uzembe wa Beki wao wa Kulia na Kipa wao. Hadi imembidi Mtangazaji wa Kenya kusema namnukuu " Yanga is dead and buried ". Halafu kumbe Timu wanayocheza nayo Yanga inaitwa Kakamega Homeboys ambayo hata hadhi yao ni ndogo mno ukilinganisha na Yanga SC. Matokeo yakiwa hivi Yanga SC watainza safari yao ya kurejea Dar es Salaam kwa kutembea kwa Miguu kutoka Nakuru.
 
Wamekoswakoswa goli baada Kichwa cha Mshambuliaji kugonga besela / mwamba na sasa nacheka tu kuwaona ' Mashabiki ' wa Yanga SC waliosafiri na Timu kutoka Dar es Salaam wakilia na misura yao mibaya iliyochoka. Mpira umeshakwisha na Yanga SC wamerudi Vyumbani kuvaa ili waanze safari yao ya Mbuga kwa Mbuga kwa miguu kuitafuta Dar es Salaam Keshokutwa usiku ambapo wanategemea kufika.
 
Back
Top Bottom