GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
namsubiri GENTAMYCINE averify.
Dakika 3 tu kutoka sasa wametoka Kufungwa goli la 3 ambalo ni la Uzembe wa Beki wao wa Kulia na Kipa wao. Hadi imembidi Mtangazaji wa Kenya kusema namnukuu " Yanga is dead and buried ". Halafu kumbe Timu wanayocheza nayo Yanga inaitwa Kakamega Homeboys ambayo hata hadhi yao ni ndogo mno ukilinganisha na Yanga SC. Matokeo yakiwa hivi Yanga SC watainza safari yao ya kurejea Dar es Salaam kwa kutembea kwa Miguu kutoka Nakuru.