Tangu lini makambale yakawa na akili, hata chooni utayakuta. bure kabisa hayo.Duh wako wapi waliokuwa wanasema yanga yao aiwezi kukodishwa kama masufuria ya shughuli.
Uongozi mbovu
Benchi la ufundi bovu
Team mbovu
Wanachama na wapenzi ovyo kabisa
Ushauri jengo la Yanga likodishwe kama hostel za wanafunzi
Poleni sana dada yangu kwa kipigo mlichokipata toka kwa Kakamega home boysKila la kheri kwetu wana Jangwaani.
HahahahaWa Kuvua ' Vibua ' pale Jangwani Mafurikoni Mkuu.
sasa si muwadhamini nauliDakika 3 tu kutoka sasa wametoka Kufungwa goli la 3 ambalo ni la Uzembe wa Beki wao wa Kulia na Kipa wao. Hadi imembidi Mtangazaji wa Kenya kusema namnukuu " Yanga is dead and buried ". Halafu kumbe Timu wanayocheza nayo Yanga inaitwa Kakamega Homeboys ambayo hata hadhi yao ni ndogo mno ukilinganisha na Yanga SC. Matokeo yakiwa hivi Yanga SC watainza safari yao ya kurejea Dar es Salaam kwa kutembea kwa Miguu kutoka Nakuru.
Yanga mbovu tumekubali ila BASHITE hata akifa Leo nitaenda na gari langu makaburini na kufungulia muziki kwa sauti ya juu nikishangilia alafu wakizika na kuondoka nitaenda kujisaidia juu ya kaburi lake...nyambaf