Chiwaso
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 5,726
- 3,778
Tangu lini makambale yakawa na akili, hata chooni utayakuta. bure kabisa hayo.Duh wako wapi waliokuwa wanasema yanga yao aiwezi kukodishwa kama masufuria ya shughuli.
Uongozi mbovu
Benchi la ufundi bovu
Team mbovu
Wanachama na wapenzi ovyo kabisa
Ushauri jengo la Yanga likodishwe kama hostel za wanafunzi
YANGA OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE