Yanga waahidi kutwaa ubingwa wa sport pesa super cup

Yanga waahidi kutwaa ubingwa wa sport pesa super cup

Duh wako wapi waliokuwa wanasema yanga yao aiwezi kukodishwa kama masufuria ya shughuli.
Uongozi mbovu
Benchi la ufundi bovu
Team mbovu
Wanachama na wapenzi ovyo kabisa
Ushauri jengo la Yanga likodishwe kama hostel za wanafunzi
Tangu lini makambale yakawa na akili, hata chooni utayakuta. bure kabisa hayo.

YANGA OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
 
Kesho wanatua na kombe !!! Wananchi tukitokeze kuwapokea; wana simba masuala haya ni ya kitaifa tujitokeze pia saa kumi kamili uwanja wa ndege wa Mwalimu nyerere terminal 1 kwa wageni maalum.

Hongera chama kubwa - wa kimataifa. Nani kama Yanga bwaana.
 
Yanga mbovu tumekubali ila BASHITE hata akifa Leo nitaenda na gari langu makaburini na kufungulia muziki kwa sauti ya juu nikishangilia alafu wakizika na kuondoka nitaenda kujisaidia juu ya kaburi lake...nyambaf
 
Dakika 3 tu kutoka sasa wametoka Kufungwa goli la 3 ambalo ni la Uzembe wa Beki wao wa Kulia na Kipa wao. Hadi imembidi Mtangazaji wa Kenya kusema namnukuu " Yanga is dead and buried ". Halafu kumbe Timu wanayocheza nayo Yanga inaitwa Kakamega Homeboys ambayo hata hadhi yao ni ndogo mno ukilinganisha na Yanga SC. Matokeo yakiwa hivi Yanga SC watainza safari yao ya kurejea Dar es Salaam kwa kutembea kwa Miguu kutoka Nakuru.
sasa si muwadhamini nauli
 
Yanga mbovu tumekubali ila BASHITE hata akifa Leo nitaenda na gari langu makaburini na kufungulia muziki kwa sauti ya juu nikishangilia alafu wakizika na kuondoka nitaenda kujisaidia juu ya kaburi lake...nyambaf

Mkuu unahasira na Bashite
 
Yanga ni sawa dafutari la mwandiko kila mtoto anajifunzia, humo kuandika
 
Back
Top Bottom