Yanga Waambiwe Ukweli, Tusiwaogope.

Yanga Waambiwe Ukweli, Tusiwaogope.

Boss la DP World

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2021
Posts
2,318
Reaction score
8,464
Hivi Yanga wamesahau kuwa wanakwenda kushiriki Ligi kuu ya Tanzania bara na kombe la club Bingwa barani Africa?

Mbona usajili wanaofanya ni kama timu inayokwenda kushiriki La Liga? Mimi nadhani viongozi wakumbushwe kuwa sisi Simba hatuna ugomvi nao, ila tunaomba wasitufanyie hivyo.

Hivi kweli unamsajili mchezaji wa EPL kwenye ligi ambayo sisi tumesajili walioshusha daraja timu zao?

Kwanini Yanga wasibaki na kikosi kile cha msimu ulioisha mbona kinaweza kufika mpaka fainali za club Bingwa? Hii sio sawa kabisa, serikali iingilie kati tutafungwa magoli 10 hivihivi kwenye ngao ya hisani.

We angalia li Morison lilivyo tupania, bado li Mayele, kuna li Feitoto, halafu kuna li Azizi Ki kuna li Bigirimana sasa Inonga atamkaba nani?

Tafadhali sana TFF ongeeni na Yanga basi aaaagh.
 
Inafungwa PSG ikiwa na Mbape, Messi, Neyma jr na nyota kibao, itakuwa hawa wa kawaida tu, ngoja msimu uanze muone mtakavyo kimbiana
 
Kama walevi wanavyosema mwagilia roho. Nao Yanga wanajipa furaha wenyewe. Natumaini timu inasajili wachezaji hodari na sio majina tishio
 
Inafungwa PSG ikiwa na Mbape, Messi, Neyma jr na nyota kibao, itakuwa hawa wa kawaida tu, ngoja msimu uanze muone mtakavyo kimbiana
Makolo wakae watulie dawa iwaingie, Ligi yetu itakuwa ni mithiri ya utawala wa PSG kwenye ligi ya huko kwao, Yanga itabeba kombe la ligi kuu mpaka 2030 mfululizo.....

Kanjibahi wa kolo alienunua timu milele kimchongo mchongo wacha aendelee kuwafuga kina onyango, kagere, boko na mugalu..

Lazima dawa iwaingie makolo msimu huu
 
Muhaho Pro Max naona umeanza 😂

Kwa kosi hili la mauaji kuna watu maji wataita mma
 
Hivi Yanga wamesahau kuwa wanakwenda kushiriki Ligi kuu ya Tanzania bara na kombe la club Bingwa barani Africa?

Mbona usajili wanaofanya ni kama timu inayokwenda kushiriki La Liga? Mimi nadhani viongozi wakumbushwe kuwa sisi Simba hatuna ugomvi nao, ila tunaomba wasitufanyie hivyo.

Hivi kweli unamsajili mchezaji wa EPL kwenye ligi ambayo sisi tumesajili walioshusha daraja timu zao?

Kwanini Yanga wasibaki na kikosi kile cha msimu ulioisha mbona kinaweza kufika mpaka fainali za club Bingwa? Hii sio sawa kabisa, serikali iingilie kati tutafungwa magoli 10 hivihivi kwenye ngao ya hisani.

We angalia li Morison lilivyo tupania, bado li Mayele, kuna li Feitoto, halafu kuna li Azizi Ki kuna li Bigirimana sasa Inonga atamkaba nani?

Tafadhali sana TFF ongeeni na Yanga basi aaaagh.
😂😂😂😂😂🤪
 
Hivi umeelewa hata ulichokiandika?, Tanzania kuna watu wanaakili ndogo.
 
Na li Mayele linasema bado Lina deni na sisi.Na Leo VAR zimetumika kwenye nusu Fainali za U20.Zimenifurahisha Sana,jamaa wamezitumia vizuri Sana kuliko hata Ulaya.Tff Sasa iko serious.

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
VAR ikianza kutumika Bongo, kuna timu itafunga magoli machache sana msimu ujao. Maana zile penati zenye utata, na yale magoli ya kuotea hayatakuwepo tena.
 
Msimu ujao makolo wataenda fifa mapema tu
20220503_215837.jpg
 
VAR ikianza kutumika Bongo, kuna timu itafunga magoli machache sana msimu ujao. Maana zile penati zenye utata, na yale magoli ya kuotea hayatakuwepo tena.
Mayele ndo muoteaji, atatoka mtupuuu.
 
Aisee VAR ije bongo coz kuna magoli Mayele alikuwa anakataliwa kipumbavu sana

Ila hofu yangu ipo kwa watani Yale magoli yao ya penalty na magoli ya mchongo watayakosa automatically

Nacheka lakini napata wasiwasi coz hii timu inaweza kucheza play off next season
 
Back
Top Bottom