Yanga waanza kupitisha Bakuli tena!

yes sisi ni team ya wananchi,

bora tuchangishane wenyewe kuliko kupewa pesa na Gabachori mmoja mla tambuu alafu aje kutupangia hadi vyama vya siasa vya kushabikia.
Sahivi mbna siasa imetamalaki huko klabuni kwenu, na mnapewa pesa na m Yemen koko was Songea. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Na ana wapangia kila kitu. Woiiiiiiiiiiih
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…