Yanga wabaki Shirikisho ni faida kwa Simba

bulabo

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2015
Posts
628
Reaction score
780
Yanga nawaombea sana washinde kesho pia waweze kuvuka. Wakivuka itakuwa vizuri sana kwasababu watabaki makundi na ratiba itawaumiza kama ambavyo Simba huumia. Wakitoka Simba tumekwisha maana sisi tutabaki makundi na ratiba itatubana mno wao wakichekelea.

Yanga tunawasupport mvuke.
 
Tatizo Yanga wana midomo, swala la ratiba hilo wao walisemaga kuwa ni njama za TFF kuiwekea viporo Simba ili ichukue ubingwa

Now Kocha wao ameanza kulia lia
Mimi yanga,nataka tutoke ili tusiingize timu nne mwakani,midomo flan ikose kimataifa mwakani maana ubavu wa kuchukua ubingwa hawana
 
Unataka mtoke kwani tayari mshaingia?

Mko kwenye playoff yani mpakani mwa confederation sasa utasemaje mtoke?

Afu miaka yote Simba ndio imekuwa ikitoa shavu kwa timu 4 ukiwemo na wewe ambaye unajidai kuwabania rizki wenzako kucheza kimataifa kwa dhana ya kususa kumbe ni uwezo tu huna

Kingine kama unataka hivyo basi kesho ungana nasi kuishangilia Club Africain
 
Mimi yanga,nataka tutoke ili tusiingize timu nne mwakani,midomo flan ikose kimataifa mwakani maana ubavu wa kuchukua ubingwa hawana
Ungewaza kwanza kuwa kwanini Tanzania tumeingiza timu nne na aliyesababisha ni nani. Basi usingeandika hiki ulichoandika kwa kujiamini kwasababu kama aliweza kukusanya point za kuifanya Tanzania iingize timu nne hapo nyuma basi hata msimu huu huo uwezo upo kwasababu tayari timu ipo makundi kabakisha hatua mbili tu wacheze fainali ya klabu bingwa.

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
 
Bravo
 
Hahahaa ati fainali,point za Libya zitazidi na tutapeleka timu mbili tu
 
Mzamiru huyo huyo tulienda naye robo

So nyie kupitia mbio za Kisinda mnaamink anaweza kimbia mpaka mkayafikia makundi?

Afu leo nimeona Ally Kamwe akisema Yanga wanatengeneza makundi makubwa mawili

Kumbe wenzetu tayari mko kwenye makundi afu hata hamringi?
Robo ya corona na kupulizia watu vyumbani
 
Ulikutana na Nani mpaka kufika makundi!?..akina de agosto!
1667338391687.png

Al Ahly ambaye kwenye group niliongoza mimi kwa points

Niambie na wewe ni lini ulifika makundi?

Nipe rekodi yeyote hata ya uongo kama ipo insyokuonesha upo kwenye group ns Al Ahly na unaongoza wewe
 
Uwezo wao ndo utafanya wavuke mkuu..otherwise ni mpira ndo utaongea
 
Yanga nawaombea sana washinde kesho pia wawexe kuvuka. Wakivuka itakuwa vzr sana kwa sbb watabaki makundi na ratiba itawaumiza kama ambavyo Simba huumia. Wakitoka Simba tumekwisha maana sisi tutabaki makundi na ratiba itatubana mno wao wakichekelea.

Yanga tunawasupport mvuke
Itakuwa uliweka kando akili wakati unaandika huu utopolo. Simba ilibebbe makombe miaka 4 mfululizo ikiwa inashiriki ratiba ngumu za CAF na hao Yanga walikuwa hawana kinachowabana.
 
Mzamiru huyo huyo tulienda naye robo

So nyie kupitia mbio za Kisinda mnaamink anaweza kimbia mpaka mkayafikia makundi?

Afu leo nimeona Ally Kamwe akisema Yanga wanatengeneza makundi makubwa mawili

Kumbe wenzetu tayari mko kwenye makundi afu hata hamringi?
Mkuu unahangaika na failures, utopolo wapo wanafanya suplimentaries huko huku wakivimba vichwa
 
Utopolo leo wanafanya supp na sio special na ujinga wa supp huwezi pata A au B ni C tu
 
Back
Top Bottom