Yanga wabaki Shirikisho ni faida kwa Simba

bulabo

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2015
Posts
628
Reaction score
780
Yanga nawaombea sana washinde kesho pia waweze kuvuka. Wakivuka itakuwa vizuri sana kwasababu watabaki makundi na ratiba itawaumiza kama ambavyo Simba huumia. Wakitoka Simba tumekwisha maana sisi tutabaki makundi na ratiba itatubana mno wao wakichekelea.

Yanga tunawasupport mvuke.
 
Tatizo Yanga wana midomo, swala la ratiba hilo wao walisemaga kuwa ni njama za TFF kuiwekea viporo Simba ili ichukue ubingwa

Now Kocha wao ameanza kulia lia
Mimi yanga,nataka tutoke ili tusiingize timu nne mwakani,midomo flan ikose kimataifa mwakani maana ubavu wa kuchukua ubingwa hawana
 
Mimi yanga,nataka tutoke ili tusiingize timu nne mwakani,midomo flan ikose kimataifa mwakani maana ubavu wa kuchukua ubingwa hawana
Unataka mtoke kwani tayari mshaingia?

Mko kwenye playoff yani mpakani mwa confederation sasa utasemaje mtoke?

Afu miaka yote Simba ndio imekuwa ikitoa shavu kwa timu 4 ukiwemo na wewe ambaye unajidai kuwabania rizki wenzako kucheza kimataifa kwa dhana ya kususa kumbe ni uwezo tu huna

Kingine kama unataka hivyo basi kesho ungana nasi kuishangilia Club Africain
 
Mimi yanga,nataka tutoke ili tusiingize timu nne mwakani,midomo flan ikose kimataifa mwakani maana ubavu wa kuchukua ubingwa hawana
Ungewaza kwanza kuwa kwanini Tanzania tumeingiza timu nne na aliyesababisha ni nani. Basi usingeandika hiki ulichoandika kwa kujiamini kwasababu kama aliweza kukusanya point za kuifanya Tanzania iingize timu nne hapo nyuma basi hata msimu huu huo uwezo upo kwasababu tayari timu ipo makundi kabakisha hatua mbili tu wacheze fainali ya klabu bingwa.

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
 
Bravo
 
Hahahaa ati fainali,point za Libya zitazidi na tutapeleka timu mbili tu
 
Robo ya corona na kupulizia watu vyumbani
 
Uwezo wao ndo utafanya wavuke mkuu..otherwise ni mpira ndo utaongea
 
Itakuwa uliweka kando akili wakati unaandika huu utopolo. Simba ilibebbe makombe miaka 4 mfululizo ikiwa inashiriki ratiba ngumu za CAF na hao Yanga walikuwa hawana kinachowabana.
 
Mkuu unahangaika na failures, utopolo wapo wanafanya suplimentaries huko huku wakivimba vichwa
 
Utopolo leo wanafanya supp na sio special na ujinga wa supp huwezi pata A au B ni C tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…