inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Ulikutana na Nani kuelekea makundi!?...hapo kundi ni msaada wa corona na kupulizia watuView attachment 2404537
Al Ahly ambaye kwenye group niliongoza mimi kwa points
Niambie na wewe ni lini ulifika makundi?
Nipe rekodi yeyote hata ya uongo kama ipo insyokuonesha upo kwenye group ns Al Ahly na unaongoza wewe
Hawezi kukujibu maana labda makundi ya panya ....utopolo ifike mahali mtuheshimu tu na vipoint 0.5 vyenuView attachment 2404537
Al Ahly ambaye kwenye group niliongoza mimi kwa points
Niambie na wewe ni lini ulifika makundi?
Nipe rekodi yeyote hata ya uongo kama ipo insyokuonesha upo kwenye group ns Al Ahly na unaongoza wewe
Kwani huelewi sheria ya makundi?Ulikutana na Nani kuelekea makundi!?...hapo kundi ni msaada wa corona na kupulizia watu
Unaleta masuala ya kitoto ya vyuo wakati sisi tunaongelea maishaUtopolo leo wanafanya supp na sio special na ujinga wa supp huwezi pata A au B ni C tu
Ulikutana na Nani kuelekea makundi!?..mbona unaharisha harishaKwani huelewi sheria ya makundi?
Timu kubwa inapangwa na timu ndogo
Kipindi ambacho mlikuwa mnachekelea Simba kufungwa goli 5 ndio kile kipindi ambacho Simba ilikuwa inajinoa kutafuta ukubwa
Sasa tushavuka hiyo stage now we are bigger, we lini ulishawahi ona Al Ahly anacheza na Mamelodi Sundowns kwenye hatua ya kutafuta makundi?
Na nani ndio nini?Ulikutana na Nani kuelekea makundi!?..mbona unaharisha harisha
Al ahly kapasuka Mara nyingi tu kwa mkapa,Ila ukienda kwake unapasuka 5,ni yanga tu ndiye aliyembishia ahly kwakeNa nani ndio nini?
Hao niliokutana nao wakati nayatafuta makundi kama unaweza kusema walifungwa kwasababu ya udogo wao, vipi kuhusu Al Ahly aliyepasuka kwa Mkapa?
Hiyo ya kufungwa 5 ilikuwa miaka ile wakati tunautafuta huu ukubwa ambao saizi tukiwa kwao Al Ahly wanapaki basiAl ahly kapasuka Mara nyingi tu kwa mkapa,Ila ukienda kwake unapasuka 5,ni yanga tu ndiye aliyembishia ahly kwake
Kwamba Simba hii haipigwi tano Cairo!!Hiyo ya kufungwa 5 ilikuwa miaka ile wakati tunautafuta huu ukubwa ambao saizi tukiwa kwao Al Ahly wanapaki basi
Al Ahly mwenyewe akipangwa makundi na Simba lazima akune kichwa, na haya sio maneno nayasema kiushabiki ukumbuke kocha wao mwenyewe aliwahi kusema
Ungewaza kwanza kuwa kwanini Tanzania tumeingiza timu nne na aliyesababisha ni nani. Basi usingeandika hiki ulichoandika kwa kujiamini kwasababu kama aliweza kukusanya point za kuifanya Tanzania iingize timu nne hapo nyuma basi hata msimu huu huo uwezo upo kwasababu tayari timu ipo makundi kabakisha hatua mbili tu wacheze fainali ya klabu bingwa.
Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile
Hivi wewe si ni mshabiki wa Yanga? AuUngewaza kwanza kuwa kwanini Tanzania tumeingiza timu nne na aliyesababisha ni nani. Basi usingeandika hiki ulichoandika kwa kujiamini kwasababu kama aliweza kukusanya point za kuifanya Tanzania iingize timu nne hapo nyuma basi hata msimu huu huo uwezo upo kwasababu tayari timu ipo makundi kabakisha hatua mbili tu wacheze fainali ya klabu bingwa.
Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Simba saizi sio ya kinyonge kwamba we uifunge 5 halafu kwake ikufunge 1Kwamba Simba hii haipigwi tano Cairo!!
Kaizer na yanga Zina tofauti gani!?..Simba hii ukienda Cairo tarajia tanoSimba saizi sio ya kinyonge kwamba we uifunge 5 halafu kwake ikufunge 1
Siku hizi ikipigwa 5 away basi kwa mkapa lazima uchezee 5 au 4
Tulipigwa 4 na kaizer ulicheki walichokutana nacho?
Yaani tuna tembea na ratio nzuri
Mimi yanga,nataka tutoke ili tusiingize timu nne mwakani,midomo flan ikose kimataifa mwakani maana ubavu wa kuchukua ubingwa hawana
Kaizer Chief unaifananisha na Yanga?Kaizer na yanga Zina tofauti gani!?..Simba hii ukienda Cairo tarajia tano
Kwa mkapa ulimfunga na kwake ukambishia?ulimtoa?Al ahly kapasuka Mara nyingi tu kwa mkapa,Ila ukienda kwake unapasuka 5,ni yanga tu ndiye aliyembishia ahly kwake
Hakuna wa kumtoa ahly,bahanuzi alitumia nguvu tukapoteza penati ambayo angefunga tungemtoa
Yanga bingwa mtetezi na anaiongoza ligi,hao wenye point nyingi caf kwa nini si mabingwa na hawaongozi ligiKaizer Chief unaifananisha na Yanga?
Si bora hata ungeifananisha na Namungo yenye point 2
Nimesikitika sana