Yanga wabaki Shirikisho ni faida kwa Simba

View attachment 2404537

Al Ahly ambaye kwenye group niliongoza mimi kwa points

Niambie na wewe ni lini ulifika makundi?

Nipe rekodi yeyote hata ya uongo kama ipo insyokuonesha upo kwenye group ns Al Ahly na unaongoza wewe
Ulikutana na Nani kuelekea makundi!?...hapo kundi ni msaada wa corona na kupulizia watu
 
Hawezi kukujibu maana labda makundi ya panya ....utopolo ifike mahali mtuheshimu tu na vipoint 0.5 vyenu
 
Ulikutana na Nani kuelekea makundi!?...hapo kundi ni msaada wa corona na kupulizia watu
Kwani huelewi sheria ya makundi?

Timu kubwa inapangwa na timu ndogo

Kipindi ambacho mlikuwa mnachekelea Simba kufungwa goli 5 ndio kile kipindi ambacho Simba ilikuwa inajinoa kutafuta ukubwa

Sasa tushavuka hiyo stage now we are bigger, we lini ulishawahi ona Al Ahly anacheza na Mamelodi Sundowns kwenye hatua ya kutafuta makundi?
 
Ulikutana na Nani kuelekea makundi!?..mbona unaharisha harisha
 
Na nani ndio nini?

Hao niliokutana nao wakati nayatafuta makundi kama unaweza kusema walifungwa kwasababu ya udogo wao, vipi kuhusu Al Ahly aliyepasuka kwa Mkapa?
 
🐒🐒🐒
 
Al ahly kapasuka Mara nyingi tu kwa mkapa,Ila ukienda kwake unapasuka 5,ni yanga tu ndiye aliyembishia ahly kwake
 
Mm siwezi kuwaombea "wala mihogo" wafike popote acha wapigwe tu waje wafurahie hiyo ratiba ya NBC Premier League
 
Al ahly kapasuka Mara nyingi tu kwa mkapa,Ila ukienda kwake unapasuka 5,ni yanga tu ndiye aliyembishia ahly kwake
Hiyo ya kufungwa 5 ilikuwa miaka ile wakati tunautafuta huu ukubwa ambao saizi tukiwa kwao Al Ahly wanapaki basi

Al Ahly mwenyewe akipangwa makundi na Simba lazima akune kichwa, na haya sio maneno nayasema kiushabiki ukumbuke kocha wao mwenyewe aliwahi kusema
 
Kwamba Simba hii haipigwi tano Cairo!!
 
Ungewaza kwanza kuwa kwanini Tanzania tumeingiza timu nne na aliyesababisha ni nani. Basi usingeandika hiki ulichoandika kwa kujiamini kwasababu kama aliweza kukusanya point za kuifanya Tanzania iingize timu nne hapo nyuma basi hata msimu huu huo uwezo upo kwasababu tayari timu ipo makundi kabakisha hatua mbili tu wacheze fainali ya klabu bingwa.

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile

Ungewaza kwanza kuwa kwanini Tanzania tumeingiza timu nne na aliyesababisha ni nani. Basi usingeandika hiki ulichoandika kwa kujiamini kwasababu kama aliweza kukusanya point za kuifanya Tanzania iingize timu nne hapo nyuma basi hata msimu huu huo uwezo upo kwasababu tayari timu ipo makundi kabakisha hatua mbili tu wacheze fainali ya klabu bingwa.

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Hivi wewe si ni mshabiki wa Yanga? Au
 
Kwamba Simba hii haipigwi tano Cairo!!
Simba saizi sio ya kinyonge kwamba we uifunge 5 halafu kwake ikufunge 1

Siku hizi ikipigwa 5 away basi kwa mkapa lazima uchezee 5 au 4

Tulipigwa 4 na kaizer ulicheki walichokutana nacho?

Yaani tuna tembea na ratio nzuri
 
Kaizer na yanga Zina tofauti gani!?..Simba hii ukienda Cairo tarajia tano
 
Hapa umekosea, kwani mwaka jana mlivuta angalau kufika kucheza hatua za mchujo!? Je timu nne hazikwenda? Aliyezipeleka timu nne mwaka huu na mwaka kesho atazipeleka tena.
Mimi yanga,nataka tutoke ili tusiingize timu nne mwakani,midomo flan ikose kimataifa mwakani maana ubavu wa kuchukua ubingwa hawana
 
Kaizer Chief unaifananisha na Yanga?

Si bora hata ungeifananisha na Namungo yenye point 2

Nimesikitika sana
Yanga bingwa mtetezi na anaiongoza ligi,hao wenye point nyingi caf kwa nini si mabingwa na hawaongozi ligi
 
Back
Top Bottom