Ibrahleedegil
Member
- Nov 14, 2020
- 5
- 2
Nice talkLabda Yanga princess inaweza kuwasaidia kutwaa ubingwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nice talkLabda Yanga princess inaweza kuwasaidia kutwaa ubingwa
Hawa mateka wanasikitisha sanaUto kama utopolo yaani..View attachment 1718224
Nyie yanga ndio mlibidi muweke akiba ya maneno, kabla ya kuanza kutoa droo c mlkua mnajitapa mnachukua ubingwa msimu huu? Imeanza kujeuka mnaongea kwa huruma ooh cjui man u na man city. Yanga kuchukua ubingwa msimu huu ni dharau kubwa sana kwa simba n ligi yetu ya vplKuna mwaka Man U na Man city walikuwa wanafukuzia ubingwa wa England! Mpaka dakika ya 91 Man U walikuwa wana uhakika wa kubeba ndoo! Kilichotokea hawaamini hadi leo! Ndugu zangu mchezo wa soka hautabiliki, wekeni akiba ya maneno! Bado mechi ni nyingi sana!
Timu nzuri ndio si unaona inaongoza ligi?unasema hawawezi kumiliki mpira, hawawezi pasi za MTU Kwa MTU,hawawezi V pass halafu bado unaita ni team nzuri
Ramani ya AfrikaUto mkipata mtoto kama huyu ana miaka 27 tu lakini ametupa clean sheets 5 dhidi ya timu bora afrika yaani vita na mabingwa wa 3 wa dunia ahly bila kusahau miamba ya west africa plateau achilia mbali platinumView attachment 1718145
Bakari Nondo Mwamnyeto ni beki bora kabisaMchezaji mzawa mwenye hadhi ya kuvaa jezi ya kidimbwi FC ni yule dogo Fei.
Wengine wote wa kawaida sana
Fei naye maisha sio fei yule tena anapaisha tu mipira goliniMchezaji mzawa mwenye hadhi ya kuvaa jezi ya kidimbwi FC ni yule dogo Fei.
Wengine wote wa kawaida sana
Mashabiki wanaipenda sana timu yao.Uto kama utopolo yaani..View attachment 1718224
Mkuu, ungewataja tu hata hao Simba! We' hulipendi BIRIANI lao, mpaka utoe mfano wa mbali?Kwa modern soccer kwa sasa mpira umebadilika mno hebu tuwaangalie kesho timu ya Mamelodi quality yao pale ndipo utakapoona kuwango anachostahili kuwa nacho Yanga.
Ndio, lakini sio hadhi ya YangaBakari Nondo Mwamnyeto ni beki bora kabisa
Ni kama namwona msimu ujao akiondoka pale, kama ana meneja mzuri na washauri wazuri. Pale kipaji kitakufa.Fei naye maisha sio fei yule tena anapaisha tu mipira golini
Wewe ukitaka kuamini kuwa wazawa wetu hakuna kitu rudi kwenye timu zetu za taifa hapo utapata ukweli wote
Ufadhili wa Yanga /Simba ni wa msimu tu, Yanga kipindi cha Manji walitesa sana. Yanga hawako vibaya kifedha, na hata performance ya timu siyo mbaya, kinachohitajika ni kurekebisha hasa safu ya ushambuliaji. Labda ungesema Fey Toto afikirie kutafuta club nje ya Tanzania na sio habari za Simba.Ni kama namwona msimu ujao akiondoka pale, kama ana meneja mzuri na washauri wazuri. Pale kipaji kitakufa.
Mpira ni pesa, na Yanga hawako vizuri sana katika hilo.
Angalia simba wamefikia 5 Star Hotel Sudan, wakishinda kuna ml 200.Familia za wachezaji wa simba watakua na Maisha mazuri, no stress! Mchezaji ana concentrate
Huko Simba, akacheze namba ya nani?Labda ungesema Fey Toto afikirie kutafuta club nje ya Tanzania na sio habari za Simba.
Niyonzima anafanya nini kwenye maelezo yako?? Niyo ni mzawa???Hili ndio tatizo namba moja,
Wazawa wote wanaocheza nafasi za viungo na mbele akiwemo na Niyonzima wakubali tu kuwa viwango vipo chini waondoshwe. Kwa modern soccer kwa sasa mpira umebadilika mno hebu tuwaangalie kesho timu ya Mamelodi quality yao pale ndipo utakapoona kuwango anachostahili kuwa nacho Yanga.
Jingine ni umiliki wa mpira, tuna tatizo dogo la kupoteza mipira mingi pale tunapopenda sana kutumia mipira ya juu badala ya pasi za mtu kwa mtu pamoja na matumizi ya V pass hili limewashinda kabisa hasa wachezaji wazawa kama Nchimbi na wenzake.
Yanga ipo vizuri, mwalimu mzuri shida ipo hapo tu ambapo tunahitaji uwekezaji mkubwa tuongeze wachezaji ma-pro wazuri makombe tutayazoa mpaka tuseme basi.