ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
- Thread starter
- #41
Nakubaliana nawe kwa 100%Sio Yanga tu Mkuu,hata Simba na timu zinginezo,wazawa wanabweteka sana,wageni wanajituma sana na hata juhudi zao uwanjani zinaonekana.Ni wazawa wachache wana wanaojitambua.Wazawa walichobaki nacho ni kuwapiga miba wageni wakidhani inawasaidia ilhali hawana juhudi