Yanga wachezaji wazawa wanatuangusha

Nakubaliana nawe kwa 100%
 
Mtani kelele za kuchukua ubingwa mlizianza nyie tena mapema sana.
 
Niyonzima anafanya nini kwenye maelezo yako?? Niyo ni mzawa???
Niyonzima naye kazeeka sasa hivi unategemea kupata nini kwa mchezaji aliyefika miaka 13 iliyopita?eti leo akipewa matokeo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…