Soma ulichoandika. Yaani kumbe unazunguka kila nyuzi kuwasema watu wanashabakia Simba na Yanga mpaka wanakosa akili kumbe huwa unajisema wewe mwenyewe kuwa Simba yako imekufanya usiwe na akili kabisa. Ndio nini umeandikaMq simba na yanga yote yatachapika week hii itakuww poa sana.
Waanze kusikiliza ushauri wa vijana wenye akili.
Sio kupinga mawazo yetu.
Leo simba wanaaibika kwa Ubishi wa viongozi wao.
5-0