Japo hawakupata matokeo, Simba walivuja jasho jingi sana na walionesha maalifa ya hali ya juu. Pamoja na madai ya wengi kuwa quality ilikosekana, pengine bahati ndio ilikosekana zaidi kwani vijana walicheza vizuri, kwa ari kubwa na walitengeneza nafasi za kutosha.
Yanga leo wataingia uwanjani. Kama watacheza kama wenzao jana, wanaweza kupata chochote. Wajitume sana, wakimbie sana kama Simba walivofanya jana. Japo jitihada haizidi uwezo, lkn ina nafasi kubwa. Yanga wacheze kama Simba jana