Yanga wacheze kama Simba jana

Yanga wacheze kama Simba jana

canfi

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2022
Posts
1,368
Reaction score
1,477
Japo hawakupata matokeo, Simba walivuja jasho jingi sana na walionesha maalifa ya hali ya juu. Pamoja na madai ya wengi kuwa quality ilikosekana, pengine bahati ndio ilikosekana zaidi kwani vijana walicheza vizuri, kwa ari kubwa na walitengeneza nafasi za kutosha.

Yanga leo wataingia uwanjani. Kama watacheza kama wenzao jana, wanaweza kupata chochote. Wajitume sana, wakimbie sana kama Simba walivofanya jana. Japo jitihada haizidi uwezo, lkn ina nafasi kubwa. Yanga wacheze kama Simba jana
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Mpira wa kujituma, na mpira wa nguvu ndio mpira wanaocheza Yanga siku zote chini ya Gamondi labda itokee ishu ya fitness kwa waliokuwa majeruhi ndio iwe changamoto kwa wachezaji.
 
Mq simba na yanga yote yatachapika week hii itakuww poa sana.

Waanze kusikiliza ushauri wa vijana wenye akili.

Sio kupinga mawazo yetu.
Leo simba wanaaibika kwa Ubishi wa viongozi wao.

5-0
 
Mq simba na yanga yote yatachapika week hii itakuww poa sana.

Waanze kusikiliza ushauri wa vijana wenye akili.

Sio kupinga mawazo yetu.
Leo simba wanaaibika kwa Ubishi wa viongozi wao.

5-0
Soma ulichoandika. Yaani kumbe unazunguka kila nyuzi kuwasema watu wanashabakia Simba na Yanga mpaka wanakosa akili kumbe huwa unajisema wewe mwenyewe kuwa Simba yako imekufanya usiwe na akili kabisa. Ndio nini umeandika
 
Back
Top Bottom