Yanga wahuni, E-mail feki, number feki, kuna shida hii club

Yanga wahuni, E-mail feki, number feki, kuna shida hii club

Danielmwasi

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2021
Posts
2,134
Reaction score
3,834
Ndio maana Manara anawapanda kichwani. Organisation haina known e-mails wala contacts online.

Kuna shida, kuna watu wanajimilikisha hii team.

Screenshot_20240731_085246_Gmail.jpg
 
ndo maana Manara anawapanda kichwani. organisation haina known e-mails wala contacts online.

kuna shida . kuna watu wanajimilikisha hii team


View attachment 3057285
Wewe unatumia info@youngafricans.co.tz ni nani aliyekwambia kuwa hiyo ndio email ya klabu ya Yanga?
Wewe umeingia kwenye website ya youngafricans.co.tz je lini uliambiwa hiyo ndio website ya Yanga?

Makosa ni yale yale unaendeleza, nyuzi zako ni za kukurupuka siku zote
 
Sio uhuni bali ni ushamba na uswahili tuu.
Ndio maana hata wazee kama Magoma wanaweza kuwahenyesha kwa hoja.
 
Hiyo domain ni ya kitu kingine kabisa, sio ya klabu ya Yanga. Wao wanatumia https://yangasc.africa/ lakini naona haina muendelezo wa taarifa.

Jana nimepata wakati mgumu sana kuipata tovuti(website) ya Yanga.

Unaweza jiuliza department yenye vijana wengi kama Yanga inakosa hata tovuti yenye ubora?

Kuhusu Yanga App huko ndio usiseme, matatizo makubwa. Imefika wakati unaona kabisa hakuna haja ya kulipia.

Japo Yanga inapiga hatua, ila bado tuna safari ndefu sana.
 
Back
Top Bottom