yule jamaa amejaa maneno mpaka kero! pengine ni umbumbumbu wa kujua anaongea nini!Jana wakati Muro anamtambulisha Kaseke alisema kuwa msimu huu yanga itakuwa klabu ya soka ya kwanza ya nyumbanikusajili WORLD CLASS PLAYER/S!!Sasa sijui alikuwa anamaanisha au ni mbwembwe au hajui maana ya world class player,sijui.
Kama ni kweli basi tutegemee yanga ikipigana vikumvo natimu nyingine duniani kugombea saini za akina Raheem Sterling,Falcao,De dea and the likes!
Mpira wa bongo hautakaa uendelee kamwe.. Nilitegemea vilabu vya simba na yanga viwe na academy ya kuwa-groom vijana waje kuwa wachezaji wazuri.. Badala yake wanang'ang'ania kusajili wachezaji toka nje ambao huko wanakotoka tu hawajulikani, viwango vyao vibovu na hawaleti challenges zozote kwenye ligi..
Lakini tutegemee nini toka kwa watu wasiokuwa na uwezo wa ubunifu katika kuongoza soka hapa Tanzania..! Na hata hao mashabiki wenyewe nao ni tatizo.. Mleta uzi anaunga mkono bila ya kutuambia hao wachezaji wachache wa kigeni waliokuwa wanatumika wamesaidia vipi mpaka leo waongezwe wengine wafike 12..?
Tutaendelea kuwa kichwa cha mwendawazimu..
Hivi unapoandika lazima uzihusishe Simba na Yanga kwa kila tukio? Simba imelea vijana wangapi toka mikononi mwao. Generalisation siyo nzuri ndo maana hatuendelei. Vijana kama Isihaka, Mkude, Singano, Chanongo,Ndemla, Ajibu, wote umewakuza wewe? Yanga ndo hawalei wanadajili tu.
Mpira wa bongo hautakaa uendelee kamwe.. Nilitegemea vilabu vya simba na yanga viwe na academy ya kuwa-groom vijana waje kuwa wachezaji wazuri.. Badala yake wanang'ang'ania kusajili wachezaji toka nje ambao huko wanakotoka tu hawajulikani, viwango vyao vibovu na hawaleti challenges zozote kwenye ligi..
Lakini tutegemee nini toka kwa watu wasiokuwa na uwezo wa ubunifu katika kuongoza soka hapa Tanzania..! Na hata hao mashabiki wenyewe nao ni tatizo.. Mleta uzi anaunga mkono bila ya kutuambia hao wachezaji wachache wa kigeni waliokuwa wanatumika wamesaidia vipi mpaka leo waongezwe wengine wafike 12..?
Tutaendelea kuwa kichwa cha mwendawazimu..
unaona.. Ndo wapenzi wa mpira wa sasa nyie lol.. Yaani unaangalia na kuujadili mpira kwa misingi ya kinazi..! Huna tofauti na viongozi wa vilabu pamoja na tff.. Tuna tatizo kubwa hapa kwamba mpira wa tanzania unazidi kudumaa na kuwa wachekeshaji..
Jana wakati Muro anamtambulisha Kaseke alisema kuwa msimu huu yanga itakuwa klabu ya soka ya kwanza ya nyumbanikusajili WORLD CLASS PLAYER/S!!Sasa sijui alikuwa anamaanisha au ni mbwembwe au hajui maana ya world class player,sijui.
Kama ni kweli basi tutegemee yanga ikipigana vikumvo natimu nyingine duniani kugombea saini za akina Raheem Sterling,Falcao,De dea and the likes!
Labda ww ndo hujui maana ya world class player...sio lazima atokee ulaya
We ndo hujamwelewa Epl yenyewe timu zenye uwezo wa kusajili world class player hazizidi club 7. Wachezaji wa bongo hata ktk kiwango cha average player hawamo.
anapokwambia world class hamaanishi wachezaji wa kibongo
Kwa hiyo mkuu tutegemee jembe kama yaya toure kutua pande za jangwani?