Yanga waiomba TFF iwaruhusu kutumia wachezaji 8 wa kigeni!

Wonderful

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2015
Posts
7,347
Reaction score
5,986
Yanga FC imeiomba TFF kuiruhusu kusajiri wachezaji 8 wa kigeni ili iweze kuiwakirisha vema Tanzania katika michuano ya kimataifa.
Yanga wameiomba TFF iwakubalie ombi lao maana tayari ina wachezaji 12 wa kigeni inaowafanyia majaribio.

My take:
Naunga mkono hoja ya Yanga endapo tu itaonekana ni tija kwa Klabu na kwa taifa.
 
Jana wakati Muro anamtambulisha Kaseke alisema kuwa msimu huu yanga itakuwa klabu ya soka ya kwanza ya nyumbanikusajili WORLD CLASS PLAYER/S!!Sasa sijui alikuwa anamaanisha au ni mbwembwe au hajui maana ya world class player,sijui.

Kama ni kweli basi tutegemee yanga ikipigana vikumvo natimu nyingine duniani kugombea saini za akina Raheem Sterling,Falcao,De dea and the likes!
 
yule jamaa amejaa maneno mpaka kero! pengine ni umbumbumbu wa kujua anaongea nini!
 
Shillingi inazidi kushuka sababu matumizi ya fedha za kigeni yameongezeka, je timu ya taifa itakua na hali gani kwakuongeza kutumia wachezaji wa kigeni kwenye club zetu?
 
Mpira wa bongo hautakaa uendelee kamwe.. Nilitegemea vilabu vya simba na yanga viwe na academy ya kuwa-groom vijana waje kuwa wachezaji wazuri.. Badala yake wanang'ang'ania kusajili wachezaji toka nje ambao huko wanakotoka tu hawajulikani, viwango vyao vibovu na hawaleti challenges zozote kwenye ligi..

Lakini tutegemee nini toka kwa watu wasiokuwa na uwezo wa ubunifu katika kuongoza soka hapa Tanzania..! Na hata hao mashabiki wenyewe nao ni tatizo.. Mleta uzi anaunga mkono bila ya kutuambia hao wachezaji wachache wa kigeni waliokuwa wanatumika wamesaidia vipi mpaka leo waongezwe wengine wafike 12..?

Tutaendelea kuwa kichwa cha mwendawazimu..
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Hivi unapoandika lazima uzihusishe Simba na Yanga kwa kila tukio? Simba imelea vijana wangapi toka mikononi mwao. Generalisation siyo nzuri ndo maana hatuendelei. Vijana kama Isihaka, Mkude, Singano, Chanongo,Ndemla, Ajibu, wote umewakuza wewe? Yanga ndo hawalei wanadajili tu.
 
Unaona.. Ndo wapenzi wa mpira wa sasa nyie lol.. Yaani unaangalia na kuujadili mpira kwa misingi ya kinazi..! Huna tofauti na viongozi wa vilabu pamoja na TFF.. Tuna tatizo kubwa hapa kwamba mpira wa Tanzania unazidi kudumaa na kuwa wachekeshaji..
 
Mpira wa bongo hautakaa uendelee kamwe.. Nilitegemea vilabu vya simba na yanga viwe na academy ya kuwa-groom vijana waje kuwa wachezaji wazuri.. Badala yake wanang'ang'ania kusajili wachezaji toka nje ambao huko wanakotoka tu hawajulikani, viwango vyao vibovu na hawaleti challenges zozote kwenye ligi..

Lakini tutegemee nini toka kwa watu wasiokuwa na uwezo wa ubunifu katika kuongoza soka hapa Tanzania..! Na hata hao mashabiki wenyewe nao ni tatizo.. Mleta uzi anaunga mkono bila ya kutuambia hao wachezaji wachache wa kigeni waliokuwa wanatumika wamesaidia vipi mpaka leo waongezwe wengine wafike 12..?

Tutaendelea kuwa kichwa cha mwendawazimu..

Kwani vilabu vyenye Academy ulaya havisajili wachezaji wengine?
 
Hao viongozi hata maana ya mpira hawajui wanatuharibia mpira tu.Hata huende wapi duniani hakuna sehemu ambayo MTU anakuwa kiongozi Wa clabu alafu wakati huo kiongozi Wa chama cha mpira cha nchi.Viongozi wenyewe maslahi mbele wanatuaribia mpira sis tunaopenda mpira wanatuumiza sana.Wako wapi waliochukua ubingwa Wa dunia vijana wamitaani,copacocacola
Yaan mpaka aibu,hao wanaotaka wachezaji waongezwe Kwa tathmin ya haraka msimu huu wageni hawajafanya lolote la maana wqongezwe Wa mini?
 
unaona.. Ndo wapenzi wa mpira wa sasa nyie lol.. Yaani unaangalia na kuujadili mpira kwa misingi ya kinazi..! Huna tofauti na viongozi wa vilabu pamoja na tff.. Tuna tatizo kubwa hapa kwamba mpira wa tanzania unazidi kudumaa na kuwa wachekeshaji..

hivi kugroom ni kufanyaje? Simba wamejitahidi tokana na facilities zilizopo? Niambie hao nliowata hawajawa groomed na simba? Au unazungumzia nn? Wewe zungumzia yanga ndo hawaja groom. Be exclusive in stead of being inclusive!
 
Jana wakati Muro anamtambulisha Kaseke alisema kuwa msimu huu yanga itakuwa klabu ya soka ya kwanza ya nyumbanikusajili WORLD CLASS PLAYER/S!!Sasa sijui alikuwa anamaanisha au ni mbwembwe au hajui maana ya world class player,sijui.

Kama ni kweli basi tutegemee yanga ikipigana vikumvo natimu nyingine duniani kugombea saini za akina Raheem Sterling,Falcao,De dea and the likes!

Labda ww ndo hujui maana ya world class player...sio lazima atokee ulaya
 
We ndo hujamwelewa Epl yenyewe timu zenye uwezo wa kusajili world class player hazizidi club 7. Wachezaji wa bongo hata ktk kiwango cha average player hawamo.
 
anapokwambia world class hamaanishi wachezaji wa kibongo
 
Kwa mtizamo wangu soka la bongo litaendelea kudidimia iwapo tff itaendelea kuendeshwa na siasa za simba na yanga. Wachezaji 5 wa kigeni wakiwa na viwango bora kama okwi na niyonzima wanatosha kabisa kuleta changamoto kwa wachezaji wetu na hata timu ya taifa itafanya vizuri. Suala hapa ni ubora wala sio idadi ya wachezaji. Unaweza kuwa na wachezaji 8 halafu viwango vyao kama jam mba au akufor ina faida gani kwa soka letu?
 
Kuna faida gani katika jitihada ya kukuza soka la Tanzania ikiwa timu ya Tanzania inataka iwe na wachezaji 8 wa kigeni!?
 
Back
Top Bottom