Yanga wakijilinda vizuri na kucheza counter african watatoka

bulabo

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2015
Posts
628
Reaction score
780
Kama Yanga watajianda kujinda na kufanya mashambulizi ya kushtukiza watashinda ama sare na kupiga matatu. Nawaombea utopolo wapite ili nao wawe makundi harafu tuone wakicheza kule na huku kama watatuweza kutoboa kwenye Ligi. Me naamini yanga wanataka watoke ili wahamishie nguvu yao yote kwenye Ligi we unawachezaji wote haoo unashindwa kumchapa African kweli kwa Mkapa. Kuna kamchezo wanakifanya vile me nawaombea washinde tu
 
Kama Yanga watajianda kujinda na kufanya mashambulizi ya kushtukiza watashinda ama sare na kupiga matatu.
Daah wewe jamaa, haya ngoja tusubiri hayo matatu. Ila nahisi kama unaota vile au una njaa. Basi kale mihogo ushushie maji ya kiroba

Me naamini yanga wanataka watoke ili wahamishie nguvu yao yote kwenye Ligi
Kwa vile ni imani endelea kuamini. Lakini ukweli ndio huo ulioonekana tangia mechi za Al Hilal na Club African. Hakuna cha kuhamishia nguvu chooni wala bafuni msidanganyane na utopolo wenu.
we unawachezaji wote haoo unashindwa kumchapa African kweli kwa Mkapa
Tatizo mkiona Simba anachapa tu kwa Mkapa mnadhani ni jambo rahisi. Mtaendelea kumwagia watu maji ya maiti na bado mnafungwa
 
Nabi hawezi kuivukisha Yanga kwa sababu naona ni kocha wa kukariri.

Ule mfumo anaoutumia wa kumbakiza Mayele peke yake kule mbele utaifanya Yanga wapigwe magoli mengi sana.

Huo mfumo unautumia kama una attacking mid fielders wazuri sana ambao Yanga hawana toka alivyoondoka Ntibanzonkiza na walikosea wakasajili wachezaji waliokwisha isha akina Makambo, Kisinda, Bigirimana na Joyce ambao hawana lolote ni majina tu.
 
Kama Yanga watajianda kujinda na kufanya mashambulizi ya kushtukiza watashinda ama sare na kupiga matatu. Nawaombea utopolo wapite ili nao wawe makundi harafu tuone wakicheza kule na huku kama watatuweza kutoboa kwenye Ligi. Me naamini yanga wanataka watoke ili wahamishie nguvu yao yote kwenye Ligi we unawachezaji wote haoo unashindwa kumchapa African kweli kwa Mkapa. Kuna kamchezo wanakifanya vile me nawaombea washinde tu
Kijana jaribu kula mihogo akili itarud sawa sawa hahahahahaha, utani tu

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Njia ya kushinda game ya ugenini

Kwanza nabi na kazi wasikae kwenye bench

Timu apewe kocha wa viungo

Mifumo uwe 3:5:2 yaani nyuma wacheze Baka,job, na Mauya,

halafu atumie viungo 5 Bangala, Aucho, Azizi ki, Kibwana na Farid Mussa

mbele abaki Mayele na feisal

Shape ya kujilinda utakuwa na watu 8 na shape ya ushambuliaji itakuwa na watu 7 badae dakika 65 amlete Morrison na sure boy..kwa kuwatoa Aucho na Azizi ki.

Hii game ni nyepesi maana warabu hawatabaki nyuma wataacha mianya na feisal lazima awagonge bao.
 
Mechi ni JUMATANO ijayo SAA 1:00 usiku,iwe jua iwe mvua hawa wahuni wa Yanga lazima WAGONGWE, Waarabu wameandika kwenye page yao kwamba REVENGE HAS NO MERCY,hatari sana[emoji28]
Mechi saa 1 usiku au saa 10 jioni?
 
Naombea Sana utopolo wapigwa nne kavu bila Kinga kmmmk zao wanakelele snaa Hawa vyura.
 
Njia ya kushinda game ya ugenini

Kwanza nabi na kazi wasikae kwenye bench

Timu apewe kocha wa viungo

Mifumo uwe 3:5:2 yaani nyuma wacheze Baka,job, na Mauya,

halafu atumie viungo 5 Bangala, Aucho, Azizi ki, Kibwana na Farid Mussa

mbele abaki Mayele na feisal

Shape ya kujilinda utakuwa na watu 8 na shape ya ushambuliaji itakuwa na watu 7 badae dakika 65 amlete Morrison na sure boy..kwa kuwatoa Aucho na Azizi ki.

Hii game ni nyepesi maana warabu hawatabaki nyuma wataacha mianya na feisal lazima awagonge bao.
Kwann awe kocha wa viungo badlaa ya kocha mkuu?
 
Kwa ushauri huu, Bila shaka utakuwa na taaluma ya ukocha. Lolote linawezekana. Watani chukueni huu ushauri wa mwenzenu mshinde hii game ili muendelee kupanda ndege kwenda nje ya nchi.
 
Mechi ni JUMATANO ijayo SAA 1:00 usiku,iwe jua iwe mvua hawa wahuni wa Yanga lazima WAGONGWE, Waarabu wameandika kwenye page yao kwamba REVENGE HAS NO MERCY,hatari sana[emoji28]
Kuna kitu sijakielewa kwenye hii kauli

"revenge has no mercy"

Hawa jamaa hawakufingwa, wanarevenge kitu gani?

Au ndo ile ishu ya kuwamwagia maji?
 
Njia ya kushinda game ya ugenini

Kwanza nabi na kazi wasikae kwenye bench

Timu apewe kocha wa viungo

Mifumo uwe 3:5:2 yaani nyuma wacheze Baka,job, na Mauya,

halafu atumie viungo 5 Bangala, Aucho, Azizi ki, Kibwana na Farid Mussa

mbele abaki Mayele na feisal

Shape ya kujilinda utakuwa na watu 8 na shape ya ushambuliaji itakuwa na watu 7 badae dakika 65 amlete Morrison na sure boy..kwa kuwatoa Aucho na Azizi ki.

Hii game ni nyepesi maana warabu hawatabaki nyuma wataacha mianya na feisal lazima awagonge bao.
Kwaio profesa ni kiazi au muhogo tu sikuizi [emoji28]
 
Yaani mtu anafananisha mechi ya mwaka 2017 wale super sport walipomtoa club african kwao..wakidhani ni sawa na hii...ngojeni muone!
 
Kama Yanga watajianda kujinda na kufanya mashambulizi ya kushtukiza watashinda ama sare na kupiga matatu. Nawaombea utopolo wapite ili nao wawe makundi harafu tuone wakicheza kule na huku kama watatuweza kutoboa kwenye Ligi. Me naamini yanga wanataka watoke ili wahamishie nguvu yao yote kwenye Ligi we unawachezaji wote haoo unashindwa kumchapa African kweli kwa Mkapa. Kuna kamchezo wanakifanya vile me nawaombea washinde tu
Kwa upuuzi waliowafanyia wageni pale taifa sidhani kama watatoboa
 
Watunisia wabovu tuu ila Yanga wanacheza kama wanacheza Ligi ya ndani na pia Kocha anamtumia Faridi Musa dakika chache wakati ni Mchezaji mzuri kuliko hata Shaban Djuma ambae ni mzito upande wa Djuma acheze ile beki Polisi namba tatu achukue Faridi Musa ,Moloko aanze kisinda akae Benchi,Mayele na Makambo wote wacheze huku BM akiwa 11 kumtegemea Mayele awafunge waarabu peke yeke pale mbele ni sawa na kusubiri ndege itue bandarini haitokuja kutokea waarabu huwa wanafungwa kwa double striker niliona hata Mamelodi wakitumia huo mfumo wakicheza na Al Ahly hapo Misri..Yanga wana bahati na kupangwa na Timu mbovu sema wao hawana Mipango kabisa maana ugenini wanaenda wakiwa na mtaji wakutokufungwa hata goli moja ambalo wao wakipata litawasaidia..
 
Back
Top Bottom