sahivi mnatapatapa wakati Mzungu pori sliwaaminisha mwaka huu mnaenda kubeba caf champions.
Tunisia Yanga hatoki kwasababu huyohuyo mzungu pori alisema caf shirikisho ni kwa ma-looser.
Kwa ile beki ya yanga, haiwezi kuzuia dakika 45, za kwanza ubao utakuwa umeshaandikwa kitu either 1 au 2. Hii ukiangalia mechi ya Nyumbani hasa kipindi cha pili. Utanielewa tuombe uzima
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.