Daah wewe jamaa, haya ngoja tusubiri hayo matatu. Ila nahisi kama unaota vile au una njaa. Basi kale mihogo ushushie maji ya kirobaKama Yanga watajianda kujinda na kufanya mashambulizi ya kushtukiza watashinda ama sare na kupiga matatu.
Kwa vile ni imani endelea kuamini. Lakini ukweli ndio huo ulioonekana tangia mechi za Al Hilal na Club African. Hakuna cha kuhamishia nguvu chooni wala bafuni msidanganyane na utopolo wenu.Me naamini yanga wanataka watoke ili wahamishie nguvu yao yote kwenye Ligi
Tatizo mkiona Simba anachapa tu kwa Mkapa mnadhani ni jambo rahisi. Mtaendelea kumwagia watu maji ya maiti na bado mnafungwawe unawachezaji wote haoo unashindwa kumchapa African kweli kwa Mkapa
Kijana jaribu kula mihogo akili itarud sawa sawa hahahahahaha, utani tuKama Yanga watajianda kujinda na kufanya mashambulizi ya kushtukiza watashinda ama sare na kupiga matatu. Nawaombea utopolo wapite ili nao wawe makundi harafu tuone wakicheza kule na huku kama watatuweza kutoboa kwenye Ligi. Me naamini yanga wanataka watoke ili wahamishie nguvu yao yote kwenye Ligi we unawachezaji wote haoo unashindwa kumchapa African kweli kwa Mkapa. Kuna kamchezo wanakifanya vile me nawaombea washinde tu
Mechi ni JUMATANO ijayo SAA 1:00 usiku,iwe jua iwe mvua hawa wahuni wa Yanga lazima WAGONGWE, Waarabu wameandika kwenye page yao kwamba REVENGE HAS NO MERCY,hatari sana[emoji28]hii mechi ni lini na saa ngp
Mechi saa 1 usiku au saa 10 jioni?Mechi ni JUMATANO ijayo SAA 1:00 usiku,iwe jua iwe mvua hawa wahuni wa Yanga lazima WAGONGWE, Waarabu wameandika kwenye page yao kwamba REVENGE HAS NO MERCY,hatari sana[emoji28]
Kwann awe kocha wa viungo badlaa ya kocha mkuu?Njia ya kushinda game ya ugenini
Kwanza nabi na kazi wasikae kwenye bench
Timu apewe kocha wa viungo
Mifumo uwe 3:5:2 yaani nyuma wacheze Baka,job, na Mauya,
halafu atumie viungo 5 Bangala, Aucho, Azizi ki, Kibwana na Farid Mussa
mbele abaki Mayele na feisal
Shape ya kujilinda utakuwa na watu 8 na shape ya ushambuliaji itakuwa na watu 7 badae dakika 65 amlete Morrison na sure boy..kwa kuwatoa Aucho na Azizi ki.
Hii game ni nyepesi maana warabu hawatabaki nyuma wataacha mianya na feisal lazima awagonge bao.
Kwa ushauri huu, Bila shaka utakuwa na taaluma ya ukocha. Lolote linawezekana. Watani chukueni huu ushauri wa mwenzenu mshinde hii game ili muendelee kupanda ndege kwenda nje ya nchi.Njia ya kushinda game ya ugenini
Kwanza nabi na kazi wasikae kwenye bench
Timu apewe kocha wa viungo
Mifumo uwe 3:5:2 yaani nyuma wacheze Baka,job, na Mauya,
halafu atumie viungo 5 Bangala, Aucho, Azizi ki, Kibwana na Farid Mussa
mbele abaki Mayele na feisal
Shape ya kujilinda utakuwa na watu 8 na shape ya ushambuliaji itakuwa na watu 7 badae dakika 65 amlete Morrison na sure boy..kwa kuwatoa Aucho na Azizi ki.
Hii game ni nyepesi maana warabu hawatabaki nyuma wataacha mianya na feisal lazima awagonge bao.
Kuna kitu sijakielewa kwenye hii kauliMechi ni JUMATANO ijayo SAA 1:00 usiku,iwe jua iwe mvua hawa wahuni wa Yanga lazima WAGONGWE, Waarabu wameandika kwenye page yao kwamba REVENGE HAS NO MERCY,hatari sana[emoji28]
Kwaio profesa ni kiazi au muhogo tu sikuizi [emoji28]Njia ya kushinda game ya ugenini
Kwanza nabi na kazi wasikae kwenye bench
Timu apewe kocha wa viungo
Mifumo uwe 3:5:2 yaani nyuma wacheze Baka,job, na Mauya,
halafu atumie viungo 5 Bangala, Aucho, Azizi ki, Kibwana na Farid Mussa
mbele abaki Mayele na feisal
Shape ya kujilinda utakuwa na watu 8 na shape ya ushambuliaji itakuwa na watu 7 badae dakika 65 amlete Morrison na sure boy..kwa kuwatoa Aucho na Azizi ki.
Hii game ni nyepesi maana warabu hawatabaki nyuma wataacha mianya na feisal lazima awagonge bao.
Kwa upuuzi waliowafanyia wageni pale taifa sidhani kama watatoboaKama Yanga watajianda kujinda na kufanya mashambulizi ya kushtukiza watashinda ama sare na kupiga matatu. Nawaombea utopolo wapite ili nao wawe makundi harafu tuone wakicheza kule na huku kama watatuweza kutoboa kwenye Ligi. Me naamini yanga wanataka watoke ili wahamishie nguvu yao yote kwenye Ligi we unawachezaji wote haoo unashindwa kumchapa African kweli kwa Mkapa. Kuna kamchezo wanakifanya vile me nawaombea washinde tu
Kumwagiwa maji ya kuoshewa maiti.Kuna kitu sijakielewa kwenye hii kauli
"revenge has no mercy"
Hawa jamaa hawakufingwa, wanarevenge kitu gani?
Au ndo ile ishu ya kuwamwagia maji?