kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,779
- 4,982
Ningepata nafasi ya kuwashauri Yanga kuhusu usajili ningewambia watafute mawinga wazuri zaidi ambao wanajua ku dribble, wana speed na pia ni wazuri kwa kutoa pass.
Moloko ni mzuri some time kwa kutoa pass na speed lakini hajui ku dribble, na ni lazima winga awe mzuri pia kwa ku dribble kama alivyokuwa José Mikson wa Simba, Tuisila ndo bure kabisa, na kwa Morisson miaka imeenda.
Kwangu mimi Philip Kizumbi na Kipre Junior wa Azam ni wazuri zaidi na wanaweza kuwa msaada mkubwa kwa Yanga kwenye mechi za kimataifa na za ndani.