Yanga wakipundua meza, watakuja na kauli "Bila sisi kuwasema, msingevuka"!

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Wakati hivi sasa wako makini kuishambulia Yanga, moja ya lengo lao likuwa ni kuwakatisha tamaa mashabiki na wachezaji wa Yanga hususani wachezaji na viongozi ili wawe na molari ndogo kisha watolewe. Lakini matokeo yakija tofauti, bila aibu na kwa unafiki, watasema bila sisi kuwashambulia msingevuka.

Kwa maneno mengine, watakosa kabisa hoja za kujibu na itawalazimu kuja na hiyo kauli kuficha aibu yao. Binadamu ni kiumbe dhaifu na moja ya udhaifu ni kuamini jambo fulani katika mazingira fulani haliwezekani na linapowezeka, utawasilkia wakisema kauli kama nimeshindwa kuamini, Mungu ni wa ajabu, n.k.

NB: Kuna mdau aliweka uzi hapa kuwakumbusha kuwa mwaka 2014 kama sio 2016, Yanga iliwasimamisha hawa hawa Al Hilal huko kwao na walikuja kupata bao moja la ushindi dakika ya 90 hivyo lolote linaweza kutokea, ukizingatia kikosi cha Yanga cha sasa ni bora zaidi.
 
Wakati hivi sasa wako busy kuishambulia Yanga moja ya lengo lao likuwa ni kuwakatisha tamaa mashabiki na wachezaji wa Yanga hususani wachezaji na viongozi ili wawe demoralised kisha watoleww, lakini matokeo yakija tofauti, bila aibu na kwa unafiki, watasema bila sisi kuwashambulia mssingevuka.

Kwa maneno mengine, watakosa kabisa hoja za kujibu na itawalazimu kuja na hiyo kauli Kuficha aibu yao.

Binadamu ni kiumbe dhaifu na moja ya udhaifu kuamini jambazi fulani katika mazingira fulani haliwezekani na linapowezeka, utawasilkia wakisema Kauli kama nimeshindwa kuamini, Mungu ni wa ajabu, n.k.
Mkuu, heshima yako.

Hivi ndugu yangu wewe nakujua ni mwanamageuzi kweli, unakuwaje Yanga?

Naelewa mara nyingi hizi timu tunarithi kutoka kwa wazee na mabro zetu, ila kama ilivyo dini, ikifika wakati una uwezo wa kung'amua mambo, unafanya maamuzi yako mwenyewe.

Yanga ni taasisi ya chama.
 
Meza pekee inayoweza pinduliwa ni ile ya kumtimua kocha wenu Nabi na benchi lake la ufundi.

Vinginevyo tukutane mtoano na Pyramid huko shirikisho
 
Ninashangaa sana!! Kwani lazima ufe ukishabikia yanga? Ukiona vipi mtaa wa msimbazi uko jirani tu hapo karibuni!!Kwa nini ufe na presha kisa eti timu ya wananchi! Angalieni presha ya huyu binti:
 
Nipunguani pekee anae amini le mkunungu ataingia makundi msimu huu! Ondoa kabisa hayo mawazo!
 
Ulijuajeee tushaandaa mengi tuu yani tutawageuzia kibao hamtaamini. Ila sijui kama mtaipindua lakini
 
Wakati hivi sasa wako makini kuishambulia Yanga, moja ya lengo lao likuwa ni kuwakatisha tamaa mashabiki na wachezaji wa Yanga hususani wachezaji na viongozi ili wawe na molari ndogo kisha watolewe. Lakini matokeo yakija tofauti, bila aibu na kwa unafiki, watasema bila sisi kuwashambulia msingevuka.

Kwa maneno mengine, watakosa kabisa hoja za kujibu na itawalazimu kuja na hiyo kauli kuficha aibu yao. Binadamu ni kiumbe dhaifu na moja ya udhaifu ni kuamini jambo fulani katika mazingira fulani haliwezekani na linapowezeka, utawasilkia wakisema kauli kama nimeshindwa kuamini, Mungu ni wa ajabu, n.k.

NB: Kuna mdau aliweka uzi hapa kuwakumbusha kuwa mwaka 2014 kama sio 2016, Yanga iliwasimamisha hawa hawa Al Hilal huko kwao na walikuja kupata bao moja la ushindi dakika ya 90 hivyo lolote linaweza kutokea, ukizingatia kikosi cha Yanga cha sasa ni bora zaidi.
Tunachofanya sisi Simba ni kulipa fadhila za Yanga kwa miaka 5 iliyopita.... Sisi walau tumeona haina haja ya kuwasaidia kuwapokea wageni wao.
 
Wakati hivi sasa wako makini kuishambulia Yanga, moja ya lengo lao likuwa ni kuwakatisha tamaa mashabiki na wachezaji wa Yanga hususani wachezaji na viongozi ili wawe na molari ndogo kisha watolewe. Lakini matokeo yakija tofauti, bila aibu na kwa unafiki, watasema bila sisi kuwashambulia msingevuka.

Kwa maneno mengine, watakosa kabisa hoja za kujibu na itawalazimu kuja na hiyo kauli kuficha aibu yao. Binadamu ni kiumbe dhaifu na moja ya udhaifu ni kuamini jambo fulani katika mazingira fulani haliwezekani na linapowezeka, utawasilkia wakisema kauli kama nimeshindwa kuamini, Mungu ni wa ajabu, n.k.

NB: Kuna mdau aliweka uzi hapa kuwakumbusha kuwa mwaka 2014 kama sio 2016, Yanga iliwasimamisha hawa hawa Al Hilal huko kwao na walikuja kupata bao moja la ushindi dakika ya 90 hivyo lolote linaweza kutokea, ukizingatia kikosi cha Yanga cha sasa ni bora zaidi.
Na wasipopindua watasemaje, Timu, kocha ama uwanja mbovu😁😳
 
Back
Top Bottom