Yanga wakipundua meza, watakuja na kauli "Bila sisi kuwasema, msingevuka"!

Wakati hivi sasa wako makini kuishambulia Yanga, moja ya lengo lao likuwa ni kuwakatisha tamaa mashabiki na wachezaji wa Yanga hususani wachezaji na viongozi ili wawe na molari ndogo kisha watolewe. Lakini matokeo yakija tofauti, bila aibu na kwa unafiki, watasema bila sisi kuwashambulia msingevuka.

Kwa maneno mengine, watakosa kabisa hoja za kujibu na itawalazimu kuja na hiyo kauli kuficha aibu yao. Binadamu ni kiumbe dhaifu na moja ya udhaifu ni kuamini jambo fulani katika mazingira fulani haliwezekani na linapowezeka, utawasilkia wakisema kauli kama nimeshindwa kuamini, Mungu ni wa ajabu, n.k.

NB: Kuna mdau aliweka uzi hapa kuwakumbusha kuwa mwaka 2014 kama sio 2016, Yanga iliwasimamisha hawa hawa Al Hilal huko kwao na walikuja kupata bao moja la ushindi dakika ya 90 hivyo lolote linaweza kutokea, ukizingatia kikosi cha Yanga cha sasa ni bora zaidi.
Mjiandae kukeketwa tu hakuna jinsi nyingine
 
Mkuu, heshima yako.

Hivi ndugu yangu wewe nakujua ni mwanamageuzi kweli, unakuwaje Yanga?

Naelewa mara nyingi hizi timu tunarithi kutoka kwa wazee na mabro zetu, ila kama ilivyo dini, ikifika wakati una uwezo wa kung'amua mambo, unafanya maamuzi yako mwenyewe.

Yanga ni taasisi ya chama.
Hata mimi namshangaa kamanda mwenzangu kuwa upande wa watesi wetu
 
To be sincerely honest in my humble opinion without being sentimental of course without offending anyone who thinks differently from my point of view and without hiding any thoughts in my mind and without lies,to the actual truth with my clear open mind and clean heart,expressing what ever is embedded inside me for a long time which I didn't say just because I was nervous.But Today, by gathering all the courage and motivation, I just want to say that I actually feel and think that I have absolutely nothing to say
 
Wakati hivi sasa wako makini kuishambulia Yanga, moja ya lengo lao likuwa ni kuwakatisha tamaa mashabiki na wachezaji wa Yanga hususani wachezaji na viongozi ili wawe na molari ndogo kisha watolewe. Lakini matokeo yakija tofauti, bila aibu na kwa unafiki, watasema bila sisi kuwashambulia msingevuka.

Kwa maneno mengine, watakosa kabisa hoja za kujibu na itawalazimu kuja na hiyo kauli kuficha aibu yao. Binadamu ni kiumbe dhaifu na moja ya udhaifu ni kuamini jambo fulani katika mazingira fulani haliwezekani na linapowezeka, utawasilkia wakisema kauli kama nimeshindwa kuamini, Mungu ni wa ajabu, n.k.

NB: Kuna mdau aliweka uzi hapa kuwakumbusha kuwa mwaka 2014 kama sio 2016, Yanga iliwasimamisha hawa hawa Al Hilal huko kwao na walikuja kupata bao moja la ushindi dakika ya 90 hivyo lolote linaweza kutokea, ukizingatia kikosi cha Yanga cha sasa ni bora zaidi.
Imamu kasema ticket zote zimeisha kilichobaki ni qiyamu layli leo usiku kwa ajili ya mechi ya kesho
FB_IMG_16658172497990192.jpg
 
To be sincerely honest in my humble opinion without being sentimental of course without offending anyone who thinks differently from my point of view and without hiding any thoughts in my mind and without lies,to the actual truth with my clear open mind and clean heart,expressing what ever is embedded inside me for a long time which I didn't say just because I was nervous.But Today, by gathering all the courage and motivation, I just want to say that I actually feel and think that I have absolutely nothing to say
Kweli ww ni A man with one idea haya mambo yapo Facebook na Instagram huku jf hakuna utoto
 
Wakati hivi sasa wako makini kuishambulia Yanga, moja ya lengo lao likuwa ni kuwakatisha tamaa mashabiki na wachezaji wa Yanga hususani wachezaji na viongozi ili wawe na molari ndogo kisha watolewe. Lakini matokeo yakija tofauti, bila aibu na kwa unafiki, watasema bila sisi kuwashambulia msingevuka.

Kwa maneno mengine, watakosa kabisa hoja za kujibu na itawalazimu kuja na hiyo kauli kuficha aibu yao. Binadamu ni kiumbe dhaifu na moja ya udhaifu ni kuamini jambo fulani katika mazingira fulani haliwezekani na linapowezeka, utawasilkia wakisema kauli kama nimeshindwa kuamini, Mungu ni wa ajabu, n.k.

NB: Kuna mdau aliweka uzi hapa kuwakumbusha kuwa mwaka 2014 kama sio 2016, Yanga iliwasimamisha hawa hawa Al Hilal huko kwao na walikuja kupata bao moja la ushindi dakika ya 90 hivyo lolote linaweza kutokea, ukizingatia kikosi cha Yanga cha sasa ni bora zaidi.
Umeongea nini sasa hapa na wewe?
 
Acheni upotoshaji! Yanga anapindua meza kwa matokeo gani ya awali? Kutoa sare nyumbani ndiyo kufungwa?

Huu msemo hamuutendei haki! Kupindua meza ni kwa ile timu iliyopoteza mchezo wa awali! Mfano Azam FC! Yanga ilitoa sare ya 1-1!!! Hivyo mchezo wao ni 50/50.
 
Back
Top Bottom