Yanga wako OVERATED, kisa eti kumfunga Simba!! Coastal kathibitisha hivyo jana

Yanga wako OVERATED, kisa eti kumfunga Simba!! Coastal kathibitisha hivyo jana

mpolekabisa

Senior Member
Joined
Oct 18, 2023
Posts
161
Reaction score
225
Kufanikiwa kuifunga Simba goli 5 imefanya yanga kuwa overated. Jana Coastal union waliliona hilo wakakomaa na uto kuponea chupu chupu!!
 
Yanga mbona wanajua kufungwa nyingi si ajabu, wanajitoa ufahamu tu!! Washafungwa nyingi mara nyingi japo wanajifanya hawajui!!
 
wew hauna akili, leo nusu mtie aibu.

Rage hakukosea kuwaita Mbumbumbuu
 
Hadi mnatilisha huruma maskini

Hebu funga macho kisha assume uko katika chumba kimoja wewe na Mungu tu na mlango umefungwa mko mtu mbili tu wewe na Mungu alafu jiulize hivi kwa kupania kule na pressure ile aliyo press kosto jana angekuwa anacheza na Simba na refa sio dada Tatu matokeo yangekuwaje ?
 
Kufanikiwa kuifunga Simba goli 5 imefanya yanga kuwa overated. Jana Coastal union waliliona hilo wakakomaa na uto kuponea chupu chupu!!
Na leo Simba na Namungo nini Maoni yako.

Mimi naona Namungo wapo Overrated sana na leo hii imethibitika baada ya Simba kumkomalia Namungo kwa kurudisha goli na kuwa moja moja
 
Back
Top Bottom