mpolekabisa
Senior Member
- Oct 18, 2023
- 161
- 225
mpira we huujuiKufanikiwa kuifunga Simba goli 5 imefanya yanga kuwa overated. Jana Coastal union waliliona hilo wakakomaa na uto kuponea chupu chupu!!
Na leo Simba na Namungo nini Maoni yako.Kufanikiwa kuifunga Simba goli 5 imefanya yanga kuwa overated. Jana Coastal union waliliona hilo wakakomaa na uto kuponea chupu chupu!!