Yanga wakome kuwaalika CCM kwenye michezo

Yanga wakome kuwaalika CCM kwenye michezo

Kuna watu wanatupunguzia laana za vilio vya watu kwetu sisi tunao waburudisha
FB_IMG_16148950192744447.jpg
 
Hakukua na umuhimu wowote ule kumfanya Mzee Kina ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa CCM kuwa Mgeni rasmi kwenye kusanyiko lenye Watu wenye itikadi tofauti za Vyama.

Wamevuna walichostahili. Saafi kabisa

Yanga kama Mandonga tu
Na Manara anatuaibisha, hana staha kabisa. Ila inawezekana akawa na mental case maana ni mbishi
 
Hakukua na umuhimu wowote ule kumfanya Mzee Kina ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa CCM kuwa Mgeni rasmi kwenye kusanyiko lenye Watu wenye itikadi tofauti za Vyama.

Wamevuna walichostahili. Saafi kabisa

Yanga kama Mandonga tu
Naunga mkono hoja.
CCM ni mama wa mikosi, nuksi, balaa na kila aina ya laana.
 
Hakukua na umuhimu wowote ule kumfanya Mzee Kina ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa CCM kuwa Mgeni rasmi kwenye kusanyiko lenye Watu wenye itikadi tofauti za Vyama.

Wamevuna walichostahili. Saafi kabisa

Yanga kama Mandonga tu
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Nyuti nyuti sorry beauty beauty
 
Attachments

  • IMG-20220806-WA0116.jpg
    IMG-20220806-WA0116.jpg
    25.7 KB · Views: 5
  • IMG-20220806-WA0115.jpg
    IMG-20220806-WA0115.jpg
    65.8 KB · Views: 5
  • IMG-20220806-WA0113.jpg
    IMG-20220806-WA0113.jpg
    63.3 KB · Views: 5
Back
Top Bottom