Yanga walalamika Simba kuongezewa dakika nyingi katika mechi

Yanga walalamika Simba kuongezewa dakika nyingi katika mechi

Mkicheza na Simba mkabahatisha kigoli kimoja mnaanza kujiangusha kwa kuhofia kufungwa nyingi,unatarajia nini kama sio muda mnaopoteza kuongezwa
Kupitia Mkutano na waandishi leo Februari 8, 2022, Afisa Habari wa Klabu ya Yanga, Hassan Bumbuli amezitaja takwimu ambazo zinaonesha kuwa na utata katika kuweka usawa kwenye timu ya Yanga dhidi ya wapinzani wao, Simba.

Moja ya Takwimu ambayo ameitaja ya kwanza ni Dakika za Nyongeza ambazo hutolewa mwishoni mwa mchezo.

Bumbuli amesema kuwa katika michezo 14 ambayo Klabu ya Young Africans ilicheza kwenye Ligi Kuu msimu huu, walibahatika kuongezewa dakika 34 tu (Jumla) ikiwa na mgawanyiko wa ongezeko la dakika 2, 3 mpaka 5.

Kwenye michezo 15 ambayo Klabu ya Simba iliyocheza kwenye Ligi Kuu Bara msimu huu, waliongezewa dakika 75 ikiwa na mgawanyiko wa ongezeko la akika 4, 5 mpaka 7.

View attachment 2112691
 
Ndio hizi dk mbili, tatu wanazoongezewa Yanga?
20220205_210333.jpg
 
Back
Top Bottom