Yanga Walia na "Mvua ya Magumashi" mechi yao v/s USM Alger

Mimi ni Simba sc, nina jamaa yangu ni utopolo lialia. Nilipoona tu kuna mvua inanyemelea nikamwambia mshaliwa.

Halafu mjifunze, acheni kutukana wazee🤣🤣🤣🤣.

Bogi lilikuwa linakazana utopolo wakianza kushambulia.

Akilini mwao walishakuwa na hofu(phobia) na mvua, kwa hiyo wakiona mvua tu wanaweweseka.
 
😃😃😃😃 kudadeki mvua ya magumashi .
Acheni visingizio wanayanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…