Yanga Walia na "Mvua ya Magumashi" mechi yao v/s USM Alger

Yanga Walia na "Mvua ya Magumashi" mechi yao v/s USM Alger

Wakuu wale wenye mnaimiliki hii "Mvua" hatuwezi kwenda nayo Algeria tukamaliza Kabisa kazi hiyo tarehe 03/06 kuzima kelele mjini??

Au ndo uchawi haupandi ndege?
Huko kwa waarabu ndo ko konkiiio wenyeweee, huyo Diarra hataona mpira zaidi ya bomuu linakuja langoni kwakeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mna kesi ya kujibu hauwezekani mvua yanga anashambulia inaongezeka🤣🤣🤣🤣🤣
Kha mnaroho mbaya hamkutaka sie tugegede mashangazi ya yanga
Yani bora wangenyamaza tuu..kufungwa kwani wao wa kwanza??
 
Yani bora wangenyamaza tuu..kufungwa kwani wao wa kwanza??
Haiwezekani mvua inyeshe Jana tuuuu mwez huu wote.. Cha ajabu mvua Leo hakuna na mawingu kama ya Jana yapoyapo. Mbaya zaidi... Mpira tukishika yanga Jana mvua inaongezeka. 😭😭😭😭
 
Haiwezekani mvua inyeshe Jana tuuuu mwez huu wote.. Cha ajabu mvua Leo hakuna na mawingu kama ya Jana yapoyapo. Mbaya zaidi... Mpira tukishika yanga Jana mvua inaongezeka. 😭😭😭😭
😄😄😄😄
 
Back
Top Bottom