Yanga walichomfanyia refa Mwanza ni hatari sana!

Kama walimpiga refa kipindi cha nyuma huko na hawakuchukuliwa hatua seuse hii.
 
Matukio ya jana huko Mwanza ndiyo yanadhihirisha tuhuma za Haji Manara dhidi Malinzi
 
Nani asokujua ww hayo ni maumivu ya kukosa ubingwa tu, sio hilo tu tunajua unaomba yanga wakianza zile safari zao za ndege kama kawaida yao waanguke na ndege unaroho mbaya sana ww kinyamkela.
Kwa hiyo kumpiga ni sehemu ya mchezoo
 
Mimi ni Yanga, lakini timu hii kwa sasa siipendi kabisa, kila kukicha ina matukio na mbaya zaidi inaniudhi sana inapokwenda kimataifa, kazi kufungwa tu, shenzy zao.
 
kAZI YA UKAMISHNA UMEANZA LINI
 
TFF ni Yanga B usitegemee lolote hapo. Zingelifanya timu zingine ungelisha sikia hatua kali kesho yake. Malinzi aka ua soka Tz kwa maslahi ya Yanga.
 
labda wangefanya vile Simba ungeona povu la TFF
 
Ndo maana Msuva anabaki kuwa wa hapahapa ataendelea kuwaangalia lina Samatta kwenye tv tu
PSG walifanya nini mechi na Barcelona... Hivi yule kipa wa Mbao kwa nini alimshika Martin.. Nyani haoni kundule..Mkude alimfanya nini yule refa
 
PSG walifanya nini mechi na Barcelona... Hivi yule kipa wa Mbao kwa nini alimshika Martin.. Nyani haoni kundule..Mkude alimfanya nini yule refa

Kwahiyo kosa hulipwa kwa kosa?

Huyo Malinzi anawadekeza mkienda nje ya nchi mkafanye hivyo pia
 
Ndo maana Msuva anabaki kuwa wa hapahapa ataendelea kuwaangalia lina Samatta kwenye tv tu
Nasikia Kichuya alipelekwa Holland..wazungu wakamshangaa mbilikimo mmemtoa wapi...Ajibu ana ngoma waarabu wakamtosa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…