Bwana Bima
JF-Expert Member
- Jul 29, 2014
- 429
- 929
Nadiriki kusema hivyo kwasababu inasemakana bwana yule mahop alifika mpaka Dar akaomba mshahara wa milion 35 per month na alipwe pesa yote ya signing fee.
Jaman nina maswali mengi aana kichwani kuhusu hili je ni kweli au ni propaganda za makolo? Kwanza je kuna mchezaji wa kulipwa kwa daraja hili hapa bongo ambaye mwaka wa kwanza kuja tu ashawahi kulipwa kiasi chote hiki cha pesa?
Je kwann hatukusikia tetesi za kutakiwa na mataifa yenye misuli ya pesa badala yake ni yanga ndo ilikua inazungumziwa zaidi? Huko alikotoka alikua analipwa bei gani kwa mwezi mpaka kutaka pesa nyingi kiasi hicho?
Nadiriki kusema huenda ilikua ni propaganda au watu walikua wanapiga debe kama kawaida kupata 10% au huenda yanga waliamua kuachana naye kwa sbabu ya gharama zake