Yanga walifanya uamuzi wa maana kuachana na mcameroon

Yanga walifanya uamuzi wa maana kuachana na mcameroon

Nadiriki kusema hvyo kwasababu inasemakana bwana yule mahop alifika mpaka dar akaomba mshahara wa milion 35 per month na alipwe pesa yote ya signing fee. Jaman nina maswali mengi aana kichwani kuhusu hili je ni kweli au ni propaganda za makolo? Kwanza je kuna mchezaji wa kulipwa kwa daraja hili hapa bongo ambaye mwaka wa kwanza kuja tu ashawahi kulipwa kiasi chote hiki cha pesa? Je kwann hatukusikia tetesi za kutakiwa na mataifa yenye misuli ya pesa badala yake ni yanga ndo ilikua inazungumziwa zaidi? Huko alikotoka alikua analipwa bei gani kwa mwezi mpaka kutaka pesa nyingi kiasi hicho? Nadiriki kusema huenda ilikua ni propaganda au watu walikua wanapiga debe kama kawaida kupata 10% au huenda yanga waliamua kuachana naye kwa sbabu ya gharama zake
Ahmada wa azam fc analipwa milioni 50 kwa mwezi
 
Nadhani hapa Afrika, kwasasa Tanzania ndio ligi yenye amsha amsha na branding kubwa,pengine kuliko ligi zingine zote (sizungumzii ubora).

Pia kuna hela ya kutosha sana huku, kwahiyo huyo Mahop aliona statistics zake za msimu uliopita zinaweza kumfanya apate hicho kitita. Ila alishoshindwa kujua, huu ni msimu wake wa kwanza, hakuna anayeweza kucheza hiyo kamali. Kumbukumbu za Yikpe na Sarpong bado tunazo
Nimependa zaidi hiyo statement ya mwisho....
 
Back
Top Bottom