Yanga waliingia uwanjani kwa kuidharau Simba

Tatizo wachezaji na mashabiki wa utopolo wameingia kwenye mfumo wa msemaji wao badala ya mfumo wa kocha. Halafu kocha analalamikia refa.
Nyie kumbe Nabi anakijua kiswahili vizuri kabisaaa, eti "niache niache, subiri subiri huyu Robetinho afu akachanganyaa na kifaransa chake"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilichekaaa hadi baas.
 
Like it or Not......
Yanga hachukui Ubingwa.
Atafungwa na Singida away, ata draw na Mbeya City........
Baada ya hapo habari zinakuwa Nyingine kabisa.
Sijui ni nani kawahakikishia kuwa wao ni Mabingwa.
Naona ata kocha wao anasema Wao ni mabingwa.
Kwa kweli iwe hivyoooo.
 
Yanga kufungwa na timu ya yule waziri wa noti si rahisi maana lile ni tawi lao
 
Nyie kumbe Nabi anakijua kiswahili vizuri kabisaaa, eti "niache niache, subiri subiri huyu Robetinho afu akachanganyaa na kifaransa chake"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilichekaaa hadi baas.
Na Baleke angefunga pale jamaa angeongea hadi Kinyakyusa
 
Like it or Not......
Yanga hachukui Ubingwa.
Atafungwa na Singida away, ata draw na Mbeya City........
Baada ya hapo habari zinakuwa Nyingine kabisa.
Sijui ni nani kawahakikishia kuwa wao ni Mabingwa.
Naona ata kocha wao anasema Wao ni mabingwa.
Singida ni tawi lao wataachiwa, ila kule Mbeya wanapoenda kumalizia ligi ndipo wanaacha ubingwa ili bingwa wa ukweli aliyepo ligi ya mabingwa abebe ubingwa. Au nasema uongo jamani?
 
Nyie kumbe Nabi anakijua kiswahili vizuri kabisaaa, eti "niache niache, subiri subiri huyu Robetinho afu akachanganyaa na kifaransa chake"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilichekaaa hadi baas.
Sambaloketo kamfanya mara 2 (Vipers na Simba) halafu Yanga kaifanya mara 3 (APR, Vipers na Simba) .
 
Acha ushabiki maandaz ww

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Singida ni tawi lao wataachiwa, ila kule Mbeya wanapoenda kumalizia ligi ndipo wanaacha ubingwa ili bingwa wa ukweli aliyepo ligi ya mabingwa abebe ubingwa. Au nasema uongo jamani?
😂😂 ubingwa wanauacha Mbeya...
 
Viongozi wa Yanga waache kupoteza mda katika kushawishi vijana wadogo wasilimu, wajikite kwenye mpira tu. Ona jana tumefungwa na Enock na Denis!
 
Hv hii hoja ya kuidharau inatoka wapi
Mm naona goli lile la mapema lilitutoa mchezon,ila kama gemu ingeenda dk 15 bila bila hii hoja ya dharau isingekuwepo
 
Sambaloketo kamfanya mara 2 (Vipers na Simba) halafu Yanga kaifanya mara 3 (APR, Vipers na Simba) .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Walifikiri wana cheza na AS Monastir auTp Mazembe ?

Wanatakiwa wajue Simba inacheza CAF Champions league sio kombe la looser
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…