Yanga walikua sahihi kujitoa kwenye shindano la nani zaidi

Yanga walikua sahihi kujitoa kwenye shindano la nani zaidi

Mgagaa na Upwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2013
Posts
13,481
Reaction score
28,116
Ndani ya wiki moja simba iliweza kuingiza milioni 90 kwenye hili shindano,baada ya Yanga kujitoa ndani ya siku 3 simba wanasufer kuingiza milioni 3,sababu za Yanga kujitoa japo azikuwekwa hadharani ila tetesi zinadai kuna ujanja ulikua unafanyika kuhamisha miamala
Screenshot_20220620-124526_Twitter.jpg
20220620_124556.jpg
 
Ndani ya wiki moja simba iliweza kuingiza milioni 90 kwenye hili shindano,baada ya Yanga kujitoa ndani ya siku 3 simba wanasufer kuingiza milioni 3,sababu za Yanga kujitoa japo azikuwekwa hadharani ila tetesi zinadai kuna ujanja ulikua unafanyika kuhamisha miamala
Yanga bana,
So ukipigia kura Yanga system inazihamishia Simba?
 
malalamiko FC.
na mshukuru mwaka huu mmechukua kombe maana zingelika ngumi za kutosha hapo
Mpira wa bongo umekaa kike kike sana kutwa kusutana kama akina Mwajuma wa Yombo Vituka
 
...,sababu za Yanga kujitoa japo azikuwekwa hadharani ila tetesi zinadai kuna ujanja ulikua unafanyika kuhamisha miamala

Afadhali umesema tetesi, basi ziendelee kubaki kuwa tetesi hivyo hivyo hadi utakapozithibitisha. Yanga kujitoa sio kumkomoa Simba, ni kumkomoa mdhamini wake (Azam Media) anayemlipa mabilioni ya fedha kwa mkataba wa miaka 10. Hata bila kushindanishwa, Simba ingeweza tu na ilishaweza kujichangisha yenyewe nje ya shindano, ila kwa kuheshimu makubaliano ya kisheria katika mkataba, Simba wakawa waungwana kushiriki
 
Tetesi ndio hali halisi ilivyokuwepo,uongozi umeamua kujitoa kimya kimya ila ilikua hivyo,nenda kapige kura sasa ndani ya wiki muingize m 100
 
Yanga bana,
So ukipigia kura Yanga system inazihamishia Simba?
Hawana akili wajinga hawa. Manara akiwaambia usimtumie ndugu yako kwa namba yake ya Tigopesa kwa kuwa zitaingia kwa Mo, majamaa ya utopolo yataamini
 
Tetesi ndio hali halisi ilivyokuwepo,uongozi umeamua kujitoa kimya kimya ila ilikua hivyo,nenda kapige kura sasa ndani ya wiki muingize m 100
Upeo wako wa kufikiri ulipoishia ni kuangalia Simba inaingiza shilingi ngapi. Lakini wenye upeo mpana wa kufikiri wanaangalia athari za kumgomea mdhamini anayekulipa fedha nyingi kwa miaka 10
 
Upeo wako wa kufikiri ulipoishia ni kuangalia Simba inaingiza shilingi ngapi. Lakini wenye upeo mpana wa kufikiri wanaangalia athari za kumgomea mdhamini anayekulipa fedha nyingi kwa miaka 10
Endeleeni kuchanga nyie,kwenye mkataba wetu na azam hamna kipengele cha shindano la nani zaidi
 
Endeleeni kuchanga nyie,kwenye mkataba wetu na azam hamna kipengele cha shindano la nani zaidi
Wale Azam Media mkataba wao na Yanga ni hataree, wanaruhusiwa kuingia kwenye kambi yoyote ya Yanga kuchukua habari bila kuzuiwa
 
Mbna ipo wazi hiyo yule Gabachori alikuwa anatoa pesa mfuko wa suruali halafu anaweka kwenye mfuko wa shati ili kuendelea kuwapa Furaha wale Mambumbumbu ya nchi hii
 
Akili za Wana Yanga waga wanazijua wenyewe tu, hiyo campaign ilikuwa ni mashindano na lengo la kufanya iwe mashindano ili kufanya kuongeza sababu za watu kutoa hela mifukoni mwao maana lengo ni kujua nani zaidi

Sasa kama mshindani mmoja kajitoa maana yake kiuhalisia mashindano yamekufa, ni Sawa na wanafunzi waliokuwa wanachuana class alafu mmoja ahame shule Kwa aliebaki lazima msuli upungue, so ile nguvu ya kuchangia lazima ipungue, na Yanga wamejitoa baada ya kugundua kushiriki kwao kunainufaisha zaidi Simba na kuifedhehesha Yanga maana walifata ushauri wa Manara kuwa wataongoza kwakuwa wao ndio mabingwa wa ligi

Viongozi wa Yanga wanajua tabia za mashabiki wa Team yao kuwa linapokuja swala la kutumia pesa ni wagumu Sana, sasa ili kuondoa fedheha kama ile waliyoipata kwenye derby ya mwisho, baada ya Manara na Bumbuli kufanya promotion ya week nzima ili mashabiki wajae uwanjani ila matokeo yake wakaja robo uwanjani

Hivo Kwa upande wangu nawasifu viongozi wa Yanga maana kama wasingejitoa Leo hii MZANI ungekuwa unasoma 200M Kwa 55M, lengo la campaign lishabadirika kwahiyo watu wanaona hawana haja tena ya kuendelea kuchangia, hakuna jipya Kwa Yanga ni wao ndio walikimbiaga kwenye mtani jembe maana uwanja ulikuwa unajaa Simba tupu

So hii issue haihitaji uwe na Degree ya statistics/logistics ili ujue kwanini michango imepungua, ila mkileta story zenu za kitoto eti shabiki wa Yanga akichangia michango inaenda Simba ilhali mnajua fika hilo haliwezekani basi mtakuwa mnaprove msemo wa Manara kuwa ndani ya Yanga wenye Akili timamu ni Baba yake na Mh Kikwete tu
 
Ikitokea Yanga akapoteza mechi michuano ijayo ya CAF atailaumu Simba.
 
Back
Top Bottom