Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Yanga bana,Ndani ya wiki moja simba iliweza kuingiza milioni 90 kwenye hili shindano,baada ya Yanga kujitoa ndani ya siku 3 simba wanasufer kuingiza milioni 3,sababu za Yanga kujitoa japo azikuwekwa hadharani ila tetesi zinadai kuna ujanja ulikua unafanyika kuhamisha miamala
Tangu lini chekechea akaridhika na uji hata kama atajaziwa kikombe ? CAF kuwafanya waanzie awali siyo wajinga. Hizo ndizo akili za watoto wa chekecheaYanga bana,
So ukipigia kura Yanga system inazihamishia Simba?
Mpira wa bongo umekaa kike kike sana kutwa kusutana kama akina Mwajuma wa Yombo Vitukamalalamiko FC.
na mshukuru mwaka huu mmechukua kombe maana zingelika ngumi za kutosha hapo
Mungu kaepusha hilo mkuu . Aliona bora awape ubingwa kuepusha maafa .Tff na CAS nao wangepata tabu Sana.malalamiko FC.
na mshukuru mwaka huu mmechukua kombe maana zingelika ngumi za kutosha hapo
Tunabeba na FA,kapige kura sasa kule nani zaidi ujifariji na ule mchi wa feisalmalalamiko FC.
na mshukuru mwaka huu mmechukua kombe maana zingelika ngumi za kutosha hapo
...,sababu za Yanga kujitoa japo azikuwekwa hadharani ila tetesi zinadai kuna ujanja ulikua unafanyika kuhamisha miamala
Tetesi ndio hali halisi ilivyokuwepo,uongozi umeamua kujitoa kimya kimya ila ilikua hivyo,nenda kapige kura sasa ndani ya wiki muingize m 100Afadhali umesema tetesi, basi ziendelee kubaki kuwa tetesi hivyo hivyo hadi utakapozithibitisha. Yanga kujitoa sio kumkomoa Simba, ni kumkomoa mdhamini wake (Azam Media) anayemlipa mabilioni ya fedha kwa mkataba wa miaka 10. Hata bila kushindanishwa, Simba ingeweza tu na ilishaweza kujichangisha yenyewe nje ya shindano, ila kwa kuheshimu makubaliano ya kisheria katika mkataba, Simba wakawa waungwana kushiriki
Hawana akili wajinga hawa. Manara akiwaambia usimtumie ndugu yako kwa namba yake ya Tigopesa kwa kuwa zitaingia kwa Mo, majamaa ya utopolo yataaminiYanga bana,
So ukipigia kura Yanga system inazihamishia Simba?
Upeo wako wa kufikiri ulipoishia ni kuangalia Simba inaingiza shilingi ngapi. Lakini wenye upeo mpana wa kufikiri wanaangalia athari za kumgomea mdhamini anayekulipa fedha nyingi kwa miaka 10Tetesi ndio hali halisi ilivyokuwepo,uongozi umeamua kujitoa kimya kimya ila ilikua hivyo,nenda kapige kura sasa ndani ya wiki muingize m 100
Endeleeni kuchanga nyie,kwenye mkataba wetu na azam hamna kipengele cha shindano la nani zaidiUpeo wako wa kufikiri ulipoishia ni kuangalia Simba inaingiza shilingi ngapi. Lakini wenye upeo mpana wa kufikiri wanaangalia athari za kumgomea mdhamini anayekulipa fedha nyingi kwa miaka 10
Wale Azam Media mkataba wao na Yanga ni hataree, wanaruhusiwa kuingia kwenye kambi yoyote ya Yanga kuchukua habari bila kuzuiwaEndeleeni kuchanga nyie,kwenye mkataba wetu na azam hamna kipengele cha shindano la nani zaidi