Tetesi: Yanga walitibuana na Azam sababu ya Prince Dube Sasa wanatibuana na KMC sababu ya Moallin, KMC waapa kuwaonyesha wao ni nani

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Kuporwa Prince Dube kibabe ndio kulifanya Yanga na Azam wawe na beef hadi kupekekea video zao wakiroga na kujidunga dawa za kujiongeza nguvu zivuje hali iyopelekea kuhama huo uwanja kwakisingizio unajoto sana

Sasa wamehamia uwanja wa KMC hata kabla hawajacheza mechi hata moja,wameshapora kocha mkuu wa KMC,wamempora kibabe usuku usiku na kumvalisha jezi ya Yanga na kumkabidhi Prado ambalo alilitumia kwenda kukabidhi ofisi

KMC wameapa kuifundisha yanga maana ya kukomoana

Mchana huu vyumba vya kubadilishia nguo vimeanza kufungwa CCTV Camera,na wameapa kuripoti vitendo vyote vusivyo vya kiungwana mchezoni kwa mamlaka husika

Tutarajie Yanga kuhamia uwanja wa Karume au au Tandiks mabatinI

Ukiachana na uwanja wa youtube wa Yanga,Simba na Yanga mapacha hawa hawana uwanja hata wa kuingiza watu 1000,
 
Ahahahh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…