zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
Uwanja YouTube? Mafala nini basi wakacheze YouTube watadharauliwa mpaka akili ziwakae sawa yaan Yanga wanashindwa kujenga uwanja wao wenyewe hata kwa kujichanga 100 100 Yanga Tanzania nzima wakijichanga 100 100 kila mwezi nakwambia watajenga viwanja hata vitatu kwa mpigo ila uongoziWana uwanja yutube
Nazani haoko sawa, zaidi ushabiki ni tatizo kwakoKuporwa Prince Dube kibabe ndio kulifanya Yanga na Azam wawe na beef hadi kupekekea video zao wakiroga na kujidunga dawa za kujiongeza nguvu zivuje hali iyopelekea kuhama huo uwanja kwakisingizio unajoto sana
.
Sasa wamehamia uwanja wa KMC hata kabla
hawajacheza mechi hata moja,wameshapora kocha mkuu wa KMC,
KMC wameapa kuifundisha yanga maana ya kukomoana
Mchana huu vyumba vya kubadilishia nguo vimeanza kufungwa CCTV Camera,na wameapa kuripoti vitendo vyote vusivyo vya kiungwana mchezoni kwa mamlaka husika
Tutarajie Yanga kuhamia uwanja wa Karume au au Tandiks mabatinu
Kwa hiyo yanga ni wahalifuKuporwa Prince Dube kibabe ndio kulifanya Yanga na Azam wawe na beef hadi kupekekea video zao wakiroga na kujidunga dawa za kujiongeza nguvu zivuje hali iyopelekea kuhama huo uwanja kwakisingizio unajoto sana
.
Sasa wamehamia uwanja wa KMC hata kabla
hawajacheza mechi hata moja,wameshapora kocha mkuu wa KMC,wamempora kibabe usuku usiku na kumvalisha jezi ya Yanga na kumkabidhi Prado ambalo alilitumia kwenda kukabidhi ofisi
KMC wameapa kuifundisha yanga maana ya kukomoana
Mchana huu vyumba vya kubadilishia nguo vimeanza kufungwa CCTV Camera,na wameapa kuripoti vitendo vyote vusivyo vya kiungwana mchezoni kwa mamlaka husika
Tutarajie Yanga kuhamia uwanja wa Karume au au Tandiks mabatinI
Acha umange mkuu kwani nyie mnaoYanga ni timu ya kifala sana eti mpaka leo haina uwanja wake halafu wanavyovimba sasa
Hadi leo Yanga haina uwanja ni ufala kifala kabisa mnashindwa mpaka na Namungo, Yanga inavyopendwa na matajiri eti haina uwanja au ndio timu ya Masikini?Acha umange mkuu kwani nyie mnao
Mkuu hizo fikra za wapi tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyumba ya kupanga kwani unakaa bure? Pesa yako ndio inakufanya utake cha saizi yako [emoji23][emoji23][emoji23]. Simba eti [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bunju arena wa mazoezi,ni kweli hawana uwanja lakini huwezi kusikia wakizodoa viwanja vya wenzao. Maana wanajua ni aibu kukaa nyumba ya kupanga na Kuanza kuikosoa
Umemaliza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mpira ni biashara
Biashara ni vita
Vita laZima utumie mbinu zozote ishinde
Yanga bingwa
Unamaanisha simba inapendwa na maskini?Hadi leo Yanga haina uwanja ni ufala kifala kabisa mnashindwa mpaka na Namungo, Yanga inavyopendwa na matajiri eti haina uwanja au ndio timu ya Masikini?
Yanga haina Masikini wanaoipenda? Yanga ingekua ya matajiri sasa hivi ingekua inashusha viwanja sio kuja kudharauliana na kitoto ulichokipangusa makamasi wewe mwenyeweUnamaanisha simba inapendwa na maskini?
πππKama una pesa jenga ya kwakoMkuu hizo fikra za wapi tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyumba ya kupanga kwani unakaa bure? Pesa yako ndio inakufanya utake cha saizi yako [emoji23][emoji23][emoji23]. Simba eti [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Baadae mtaanza GSM ana haribu ligi ni swala la muda tuKwa kuanzia, KMC wameamua kifunga taa na camera sehemu mbalimbali za uwanja wao ikiwemo vyumba vya kubadilshia nguo, na kupiga marufuku makomandoo
Tatizo kalileta tabora mkuuππππhii timu yangu sijui now inashida gani
Club kubwa na kongwe kabisa barani Ulaya Ac Milan na Inter Milan wamekuwa wakitumia viwanja vya jiji kwa zaidi ya miaka 10 licha ya kubeba makombe mbalimbali Ulaya na duniani kwa ujumla. Ujenzi wa uwanja sio hoja kubwa sana.Yanga ni timu ya kifala sana eti mpaka leo haina uwanja wake halafu wanavyovimba sasa
Jengeni uwanja acheni kuishi kwa mazoea maeneo yote haya Tanzania mnashindwa kupata kiwanja na kujenga uwanja?Club kubwa na kongwe kabisa barani Ulaya Ac Milan na Inter Milan wamekuwa wakitumia viwanja vya jiji kwa zaidi ya miaka 10 licha ya kubeba makombe mbalimbali Ulaya na duniani kwa ujumla. Ujenzi wa uwanja sio hoja kubwa sana.