Tetesi: Yanga walitibuana na Azam sababu ya Prince Dube Sasa wanatibuana na KMC sababu ya Moallin, KMC waapa kuwaonyesha wao ni nani

Tetesi: Yanga walitibuana na Azam sababu ya Prince Dube Sasa wanatibuana na KMC sababu ya Moallin, KMC waapa kuwaonyesha wao ni nani

Wana uwanja yutube
Uwanja YouTube? Mafala nini basi wakacheze YouTube watadharauliwa mpaka akili ziwakae sawa yaan Yanga wanashindwa kujenga uwanja wao wenyewe hata kwa kujichanga 100 100 Yanga Tanzania nzima wakijichanga 100 100 kila mwezi nakwambia watajenga viwanja hata vitatu kwa mpigo ila uongozi

Kuna tajiri mmoja anaipenda Yanga kinoma noma sema Yanga kudadadekizao pumbavu Yanga wanadharauliwa uwanja wakati kuna matajiri wanaipenda Yanga huwaambii kitu yaan ukiwaambia wachangie hata million 300 uwanja ujengwe hawaoni hatari eti Yanga haina uwanja
 
Kuporwa Prince Dube kibabe ndio kulifanya Yanga na Azam wawe na beef hadi kupekekea video zao wakiroga na kujidunga dawa za kujiongeza nguvu zivuje hali iyopelekea kuhama huo uwanja kwakisingizio unajoto sana
.

Sasa wamehamia uwanja wa KMC hata kabla

hawajacheza mechi hata moja,wameshapora kocha mkuu wa KMC,
KMC wameapa kuifundisha yanga maana ya kukomoana

Mchana huu vyumba vya kubadilishia nguo vimeanza kufungwa CCTV Camera,na wameapa kuripoti vitendo vyote vusivyo vya kiungwana mchezoni kwa mamlaka husika

Tutarajie Yanga kuhamia uwanja wa Karume au au Tandiks mabatinu
Nazani haoko sawa, zaidi ushabiki ni tatizo kwako
 
Kuporwa Prince Dube kibabe ndio kulifanya Yanga na Azam wawe na beef hadi kupekekea video zao wakiroga na kujidunga dawa za kujiongeza nguvu zivuje hali iyopelekea kuhama huo uwanja kwakisingizio unajoto sana
.

Sasa wamehamia uwanja wa KMC hata kabla
hawajacheza mechi hata moja,wameshapora kocha mkuu wa KMC,wamempora kibabe usuku usiku na kumvalisha jezi ya Yanga na kumkabidhi Prado ambalo alilitumia kwenda kukabidhi ofisi

KMC wameapa kuifundisha yanga maana ya kukomoana

Mchana huu vyumba vya kubadilishia nguo vimeanza kufungwa CCTV Camera,na wameapa kuripoti vitendo vyote vusivyo vya kiungwana mchezoni kwa mamlaka husika

Tutarajie Yanga kuhamia uwanja wa Karume au au Tandiks mabatinI
Kwa hiyo yanga ni wahalifu
 
Inter Milan
Ac Milan
Porto
Roma
Al Ahly
Zamalec
Kaizer chiefs
Orlando
Hazina viwanja, kwaiyo zimezidiwa Nini na Azam fc-
Kuwa na uwanja au kutokuwa na uwanja ni maamzi ya timu
 
Bunju arena wa mazoezi,ni kweli hawana uwanja lakini huwezi kusikia wakizodoa viwanja vya wenzao. Maana wanajua ni aibu kukaa nyumba ya kupanga na Kuanza kuikosoa
Mkuu hizo fikra za wapi tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyumba ya kupanga kwani unakaa bure? Pesa yako ndio inakufanya utake cha saizi yako [emoji23][emoji23][emoji23]. Simba eti [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
😃😃😃Kama una pesa jenga ya kwako
 
Yanga ni timu ya kifala sana eti mpaka leo haina uwanja wake halafu wanavyovimba sasa
Club kubwa na kongwe kabisa barani Ulaya Ac Milan na Inter Milan wamekuwa wakitumia viwanja vya jiji kwa zaidi ya miaka 10 licha ya kubeba makombe mbalimbali Ulaya na duniani kwa ujumla. Ujenzi wa uwanja sio hoja kubwa sana.
 
Jengeni uwanja acheni kuishi kwa mazoea maeneo yote haya Tanzania mnashindwa kupata kiwanja na kujenga uwanja?
 
Back
Top Bottom