Yaani hapo ningekuwa mimi KMC nawakatalia tu kuitumia uwanja basi..Kuporwa Prince Dube kibabe ndio kulifanya Yanga na Azam wawe na beef hadi kupekekea video zao wakiroga na kujidunga dawa za kujiongeza nguvu zivuje hali iyopelekea kuhama huo uwanja kwakisingizio unajoto sana
Sasa wamehamia uwanja wa KMC hata kabla hawajacheza mechi hata moja,wameshapora kocha mkuu wa KMC,wamempora kibabe usuku usiku na kumvalisha jezi ya Yanga na kumkabidhi Prado ambalo alilitumia kwenda kukabidhi ofisi
KMC wameapa kuifundisha yanga maana ya kukomoana
Mchana huu vyumba vya kubadilishia nguo vimeanza kufungwa CCTV Camera,na wameapa kuripoti vitendo vyote vusivyo vya kiungwana mchezoni kwa mamlaka husika
Tutarajie Yanga kuhamia uwanja wa Karume au au Tandiks mabatinI
Ukiachana na uwanja wa youtube wa Yanga,Simba na Yanga mapacha hawa hawana uwanja hata wa kuingiza watu 1000,
Faragha gani watu mmeshazidi wawili? Huu ni uongo. Tunaona ulaya hadi vyumbani teams huoneshwa. Hapo tuliteleza tu.Haisaidii chochote, chumba cha mapumziko pia hutumika kubadilisha nguo hivyo kinahitaji faragha
Hii haihalalishi Yanga sisi kuhangaika hangaika na uwanja wa watu kutunyanyasa.Inter Milan
Ac Milan
Porto
Roma
Al Ahly
Zamalec
Kaizer chiefs
Orlando
Hazina viwanja, kwaiyo zimezidiwa Nini na Azam fc-
Kuwa na uwanja au kutokuwa na uwanja ni maamzi ya timu
Faragha gani watu mmeshazidi wawili? Huu ni uongo. Tunaona ulaya hadi vyumbani teams huoneshwa. Hapo tuliteleza tu.
Kwa kweli hata mimi binafsi nisingekubali,umetoa mfano sahihi kabisa
Nimefurahi umeandika bila unafiki!Kuporwa Prince Dube kibabe ndio kulifanya Yanga na Azam wawe na beef hadi kupekekea video zao wakiroga na kujidunga dawa za kujiongeza nguvu zivuje hali iyopelekea kuhama huo uwanja kwakisingizio unajoto sana
Sasa wamehamia uwanja wa KMC hata kabla hawajacheza mechi hata moja,wameshapora kocha mkuu wa KMC,wamempora kibabe usuku usiku na kumvalisha jezi ya Yanga na kumkabidhi Prado ambalo alilitumia kwenda kukabidhi ofisi
KMC wameapa kuifundisha yanga maana ya kukomoana
Mchana huu vyumba vya kubadilishia nguo vimeanza kufungwa CCTV Camera,na wameapa kuripoti vitendo vyote vusivyo vya kiungwana mchezoni kwa mamlaka husika
Tutarajie Yanga kuhamia uwanja wa Karume au au Tandiks mabatinI
Ukiachana na uwanja wa youtube wa Yanga,Simba na Yanga mapacha hawa hawana uwanja hata wa kuingiza watu 1000,
Akikujibu ni tagSimba ina uwanja??
Upo wa mazoez Mo simba arena ila kwasasa uko na matengenezo makubwaAkikujibu ni tag