Tetesi: Yanga walitibuana na Azam sababu ya Prince Dube Sasa wanatibuana na KMC sababu ya Moallin, KMC waapa kuwaonyesha wao ni nani

Inter Milan
Ac Milan
Porto
Roma
Al Ahly
Zamalec
Kaizer chiefs
Orlando
Hazina viwanja, kwaiyo zimezidiwa Nini na Azam fc-
Kuwa na uwanja au kutokuwa na uwanja ni maamzi ya timu
Hata vya mazoezi?
 
Kuporwa Prince Dube kibabe ndio kulifanya Yanga na Azam wawe na beef hadi kupekekea video zao wakiroga na kujidunga dawa za kujiongeza nguvu zivuje hali iyopelekea kuhama huo uwanja kwakisingizio unajoto sana

Sasa wamehamia uwanja wa KMC hata kabla hawajacheza mechi hata moja,wameshapora kocha mkuu wa KMC,wamempora kibabe usuku usiku na kumvalisha jezi ya Yanga na kumkabidhi Prado ambalo alilitumia kwenda kukabidhi ofisi

KMC wameapa kuifundisha yanga maana ya kukomoana

Mchana huu vyumba vya kubadilishia nguo vimeanza kufungwa CCTV Camera,na wameapa kuripoti vitendo vyote vusivyo vya kiungwana mchezoni kwa mamlaka husika

Tutarajie Yanga kuhamia uwanja wa Karume au au Tandiks mabatinI

Ukiachana na uwanja wa youtube wa Yanga,Simba na Yanga mapacha hawa hawana uwanja hata wa kuingiza watu 1000,
Yaani hapo ningekuwa mimi KMC nawakatalia tu kuitumia uwanja basi..
Yaani unamkaribisha mpangaji halafu hata kabla ya kuhamia anatongoza mwanao?!
 
Inter Milan
Ac Milan
Porto
Roma
Al Ahly
Zamalec
Kaizer chiefs
Orlando
Hazina viwanja, kwaiyo zimezidiwa Nini na Azam fc-
Kuwa na uwanja au kutokuwa na uwanja ni maamzi ya timu
Hii haihalalishi Yanga sisi kuhangaika hangaika na uwanja wa watu kutunyanyasa.
 
Yaani hapo ningekuwa mimi KMC nawakatalia tu kuitumia uwanja basi..
Yaani unamkaribisha mpangaji halafu hata kabla ya kuhamia anatongoza mwanao?!
Kwa kweli hata mimi binafsi nisingekubali,umetoa mfano sahihi kabisa
 
Kuporwa Prince Dube kibabe ndio kulifanya Yanga na Azam wawe na beef hadi kupekekea video zao wakiroga na kujidunga dawa za kujiongeza nguvu zivuje hali iyopelekea kuhama huo uwanja kwakisingizio unajoto sana

Sasa wamehamia uwanja wa KMC hata kabla hawajacheza mechi hata moja,wameshapora kocha mkuu wa KMC,wamempora kibabe usuku usiku na kumvalisha jezi ya Yanga na kumkabidhi Prado ambalo alilitumia kwenda kukabidhi ofisi

KMC wameapa kuifundisha yanga maana ya kukomoana

Mchana huu vyumba vya kubadilishia nguo vimeanza kufungwa CCTV Camera,na wameapa kuripoti vitendo vyote vusivyo vya kiungwana mchezoni kwa mamlaka husika

Tutarajie Yanga kuhamia uwanja wa Karume au au Tandiks mabatinI

Ukiachana na uwanja wa youtube wa Yanga,Simba na Yanga mapacha hawa hawana uwanja hata wa kuingiza watu 1000,
Nimefurahi umeandika bila unafiki!
 
Back
Top Bottom