Japkas
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 3,011
- 4,617
Mkakataba wa huyo kocha na Yanga mmeuona? Nini kinaizuia Yanga kusajili kocha kutoka kwenye timu yoyote? Kocha kaamua yeye mwenyewe kuvunja mkataba na wakafanya makubalino na kumruhusu. Yanga anahusikaje?Kuporwa Prince Dube kibabe ndio kulifanya Yanga na Azam wawe na beef hadi kupekekea video zao wakiroga na kujidunga dawa za kujiongeza nguvu zivuje hali iyopelekea kuhama huo uwanja kwakisingizio unajoto sana
Sasa wamehamia uwanja wa KMC hata kabla hawajacheza mechi hata moja,wameshapora kocha mkuu wa KMC,wamempora kibabe usuku usiku na kumvalisha jezi ya Yanga na kumkabidhi Prado ambalo alilitumia kwenda kukabidhi ofisi
KMC wameapa kuifundisha yanga maana ya kukomoana
Mchana huu vyumba vya kubadilishia nguo vimeanza kufungwa CCTV Camera,na wameapa kuripoti vitendo vyote vusivyo vya kiungwana mchezoni kwa mamlaka husika
Tutarajie Yanga kuhamia uwanja wa Karume au au Tandiks mabatinI
Ukiachana na uwanja wa youtube wa Yanga,Simba na Yanga mapacha hawa hawana uwanja hata wa kuingiza watu 1000,
Kufungwa Camera kwenye vyumba vya kubadirisha nguo sio jambo geni. Shida ni muda wa matumizi wa hizo Camera. Wachezaji wakishaingia ndani ya vyumba vya kubadirisha nguo camera zinapaswa kuzimwa na kuwashwa wakitoka kwa ajili ya usalama wa mali zilizopo na hujuma zinazowezwa kufanywa.