Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Yanga wamelitumia tena Nyumba lao ambalo walilipa jina la Nyumba la maajabu pale Major Isamuhyo Stadium katika mchezo wao wa ligi kuu ya NBC dhidi ya JKT Tanzania.
Tarehe 3 Mei, 2026 Yanga waliitumia nyumba hiyo kwenye mchezo wao dhidi ya watani zao wa Jadi Simba na adhabu kali ikatoka kwao kwa fainaili ya milioni 30
Lakini leo tena wamerudia tena hivyo kuitumia nyumba hiyo iliyokaribu na uwanja wa Major Isamuhyo Stadium.
Soma Pia: Yanga yapigwa faini Sh Milioni 30 kwa kutumia nyumba ya mtu kuwa chumba cha kubadilishia nguo
Je huku ni kudharau mamlaka ya kimpira au ni ushamba wa kiimani?