Eeh,ndo mbinu yenu ya kuliiba kombeFaini washapigwa, sahivi wakatwe point tatu na faini juu
Kwamba hiyo kitu iwe formed na implemented hapohapo?Faini washapigwa, sahivi wakatwe point tatu na faini juu
kosa linaloweza kusababisha timu kukatwa 3points ni timu kumchezesha mchezaji ambaye hajakidhi vigezo vya kucheza NBC PL,makosa mengine ni faini baasi.Hilo la kukata point nafikiri ndiyo litakuwa mwarobaini sasa!
😄😄😄 Waweza kukuta TFF wenyewe wanafurahia ili wapate pesaKwani si watapigwa tena faini ya Milioni 30, shida ni nini?
Ndio mkuu ni kosa la kujirudia, adhabu iwe fundisho kwa wengineKwamba hiyo kitu iwe formed na implemented hapohapo?
Haiwezi kutokeaKwamba hiyo kitu iwe formed na implemented hapohapo?