gonamwitu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 2,187
- 2,794
Na kiwango chako kilikuwaje msimu uliopita? Je kuna giant anayeweza kumzuia al hilal au mc alger asichukue alama 9 nyumbani kwake? Unajua msimu uliopita al ahly hakufungwa away hata mechi moja? Hv unajua belouizdad angempiga al ahly angekuwa na point 11 na usingefuzu? Hv unajua mc alger na al hila kila mtu akishinda mechi zake zote kwake utakuwa umetoka? Hv unajua kuwa mc alger kashamalizana na wewe nyumbani kwake na kachukua 3?Haijatofautiana sana na msimu ulioisha. Tumepunguza point moja tu kutoka kwenye msimu ulioisha lakini Yanga alifuzu.