Yanga wamefuta nyota kwenye jezi za ligi ya mabingwa. CAF hawataki nyota hewa. Ni mabingwa tu ndio wana nyota

MELEKAHE

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2023
Posts
1,340
Reaction score
5,588
Habari wadau

Naona Yanga wametoa jezi mpya kwa kwa ajili ya total caf champions league..

Wamefuta nyota zao walizoweka juu ya logo yao kwenye jezi zao za msimu huu walizochezea hatua za awali za caf champions league na ligi kuu ya tanzania.

Watu wengi walishangaa why jezi ya mamelodi iwe na nyota Moja huku Yanga iwe na nyota tatu.

Jibu ni kwamba yanga walijiwekea nyota juu ya lebo kama urembo sababu caf champions league yenyewe ilikuwa bado haijaanza.

Caf na wadhamini wao wanatambua mashindano yao halali huwa yanaanza hatua ya makundi. Kuanzia hapo timu shiriki inaruhusiwa kuweka kila nyota Moja juu ya logo yao kwenye jezi yake kwa kila idadi ya kombe Moja la ligi ya mabingwa iliyolibeba.

Jezi ya tp mazembe ina nyota 5 juu ya logo ya mazembe

Jezi ya mamelodi ina nyota Moja

Jezi ya Yanga imeondolewa nyota zote tatu walizoweka juu ya logo yao hivyo imebaki bila nyota

Hili ni funzo kwetu tuache kuleta ujanja ujanja

Screenshot_20241121-202011_1.jpg
 
View attachment 3158123
Simba wanashiriki kombe la losers eti?
 
Habari wadau

Naona Yanga wametoa jezi mpya kwa kwa ajili ya total caf champions league...
watanzania Mungu atusaidie sana aisee hizo nyota unazosema walijiwekea tu kwani hukumsikiliza designer wa hiyo jezi ya mashindano ya ligi ya ndani kuwa nyota hizo tatu zilikuwa na utambulisho wa kubeba kombe mara 30 nyota Moja inabeba makombe kumi hivyo wakaweka nyota tatu kimataifa hawajaweka Kwa sababu hawana kombe, wewe ndio unajiandikia tu bila kufuatilia
 
MUNGU AWASAIDIE NDUGU ZANGU WATANZANIA.

HAYA MAMBO YA SIMBA NA YANGA MNAUMIA NYIE MASIKINI.

WATOTO WA MO, TRY AGAIN ,GSM HAWANA MUDA.
 
Wakati Simba inashiriki CAF wao walikuwa wanapokea wapinzani WA Simba SASA wanajiwekea manyota. Hersi anatumia ukilaza wa Shabiki WA Timu yake kuwalisha matango Pori🤣🤣🤣
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Back
Top Bottom